Uswahilini

Bongo nyoso bongo balaa

Mwengine anakwambia "Siku hizi maisha yamekuwa magumu siku nyingine hata hatuli na kama tukipika basi tunapika kilo moja tu na hicho hicho tunaamkia asubuhi kunywea chai"
 
Hii ndo njia wife anaitumiaga sana kwa ndugu wa upande wangu.sasa nasubiri mama mkwe aje halafu nijifanye kupotelewa na boxer,ntamsachi mkwe hadi kwenye mabegi yake.kakwambia nani kuwa mm navumiliaga ujinga?ukijifanya kujampa mm naharisha kbs
 
Haaaahaaaaaaa
 
Wakati wa kula upo ugenini wanakutanguliza kupakua halafu mmoja anasema
"Ugali wa leo mdogo jamani "haha
Umenikumbusa mbali Daby hata mi yashawahi nikuta miaka hiyo nikiwa kwa mjomba angu hapo , si unajua yale mambo ya kula kila mtu na sahani yake sasa ikifika saa ya kula kama ni ugali kila mtu anakata kidogo ambacho mi mgeni siwezi shiba ikifika zamu yangu sasa nakuwa sina jinsi mana kila mtu anakuangalia ambapo inabidi na mimi nikate kaugali kadogo kufuatisha wenyeji daah
 
Haya mambo ya DSM
 
Mkuu ulienda kumtembelea mjomba mjini, ukitokea koromije
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom