Jamani hivi hizi ofisi za NIDA zinatuchosha unakaa foleni siku nzima sijui maeneo mengine ila TEMEKE hapafai. Kama ushawahi kupatwa nakadhia hii tiririka.....
Hapa shida sana kuanzia kwa wafanyakazi wake mpaka mchakato wa kukipata hata kikitoka wale vijana wa nida ni wasumbufu sijawahi pata mi mpaka sasa nimeamua kuachana nacho maana hawa wadada wa vwawa hapa wanasumbjaKila shku Magufuli anabadilisha ma boss wa NIDA lakini bado tatizo halitatuliki
cjui wanajipangaje maana ikiwa ndo hivi maana unakata tamaa kabisaKila shku Magufuli anabadilisha ma boss wa NIDA lakini bado tatizo halitatuliki
Hapo kweli hapafai nilienda saa 12 asubùh nikaondoka saa 9 bila kufänikiwa. Eti hamna mtandaoJamani hivi hizi ofisi za NIDA zinatuchosha unakaa foleni siku nzima sijui maeneo mengine ila TEMEKE hapafai. Kama ushawahi kupatwa nakadhia hii tiririka.....
Nchi ina mambo ya kuchekesha,,,ni usumbufu mno ivyo vitambulisho vyaoHapo kweli hapafai nilienda saa 12 asubùh nikaondoka saa 9 bila kufänikiwa. Eti hamna mtandao