Uwe unapanda mabasi yenye hadhi. Unaogopa kutoa elfu 50 matokeo yake ndio haya!Zipo ndo unaenda kukata wanakukatia Vizuri tu Kumbe Ni wahuni hawana magari ukifika asubuhi wanakuambia panda Lile sasa kwa sababu wanakuwa wamekula chao unabaki kutoka macho tu kiukweli wanavyo fanya Si vyema
Uwe unapanda mabasi yenye hadhi. Unaogopa kutoa elfu 50 matokeo yake ndio haya!
Dah, mzee nimestuka make hapa leo nina tiketi ya mwanza sasa nimepata homa ..labda ilikuwa basi gani mkuu?