Ustadhi Rashid Josephat Gwajima

Ustadhi Rashid Josephat Gwajima

Wametia fora sana wakiongozwa na Shehe Rashid Josephat Gwajima
 
Shida sio kutunukiwa ubunge na NEC , swali ni je atakua na hoja za maana kuwatetea wana Kawe, au ndo mpaka aliyeshika hazina aamue apeleke nini jimbo la Kawe??
 
Gwajima ni mjanja mjanja tu wa town,hana uchungaji wowote huyu jamaa nilimshtukia kitambo sana
 
Rashidi haendi mbinguni ungeshinda kama ungegombea kolomine ila kawe No!
 
Gwaji boy au Chid boy nina shaka na akili yake kama iko sawa maana hata anayoyaongea ni kama fyuzi imekatika kichwani.
 
Back
Top Bottom