Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,481





Mtaalamu kujibadilisha rangi km kinyonga vile.Chid boy ni hatari sana
Hapo ujue mambo ni magumu,kwa hiyo wanatumia mbinu za kila aina.Shikamoo Siasa. ,
Tutaona mengi sana mwaka huu
Kabisa mkuu.Yaani wametia fora mwaka huu.,
Siasa za Tanzania hata comedian wakasome.
Sasa sijui kwa sasa tumuite nani
Ah wapiAnaonekana kuwa mtu wa upendo sana huyu mtumishi wa mungu,wana kawe tusimuangushe
Kwa sasa ni Rashid Gwajima,lkn kampeni zikishaisha ndo upepo utatuambia tumwite nani.Sasa sijui kwa sasa tumuite nani
Askofu Josepat Gwajima au Ustadhi Rashidi Gwajima?