Ustaarabu chumbani kwa wanandoa unapoozesha ndoa yenyewe.


Well said!
 
hahahhahha, karibu twende sawa.

hahaha nishakaribia mama. apo mbona umenipata, coz naona kila dalili kwamba Kichunafk & Kaveli ni ndege wafananao. so why not tusiruke pamoja??!!! ebu count me in.
 
Wataalamu huwa wanaiita Dirty S.e.x

Mtuu anaandaliwa remotely.....

wapo wanayoipenda, wapo wasioipenda. Kwa hivyo ni vyema kumjua mwenza anapenda ipi
 
Ya kiofisa ni mbaya!!
una round tatu kitanda hakijatanduka!!!
 

weka picha tuone sio tu kubwabwaja kwenye keyboad
 

Yaani mkuu umenifanya nicheke ulivyotaja hivyo vyeo viwili kwahiyo hao ndo wanaustaarabu kwenye mambo ya chumbani?
 
Yaani mkuu umenifanya nicheke ulivyotaja hivyo vyeo viwili kwahiyo hao ndo wanaustaarabu kwenye mambo ya chumbani?


Hawa wametumika kama mfano tu wa jamii ambayo inategemewa kufundisha watu ustaarabu katika jamii!
Sasa kufanya kama wao ukiwa na mwenzio Masterbedroom ni tatizo!!
 

Umeona eeh....
 
ndio sa sijui mambo ya kudig sodium inakuaje, ila anasema hawezi akapaacha mwaaa mme aone a lady with 2 kids mmmh...

Mmh... inabidi nirudi kwetu nikafundwe upya.
Kuna watu wana maadili aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…