Ni nyoka wa kibisa huyo kwa Korea ya kaskazini! Tayari marekani keshaogopa vita pamoja na kumiliki madude ya kivita! Marekani waoga! Baada ya kikao cha juzi cha senate kilichofanyikia white house ambapo waliambiana ukweli kuhusu uwezo wa kivita wa Korea ya kaskazini na kuzijadili options zote mezani, waliamua kuachana na option ya kutumia nguvu za kijeshi na kuchagua kutumia "njia za amani" ona maamuzi yao kwa mujibu wa BBC:
"The United States seeks stability and the peaceful denuclearisation of the Korean peninsula," said a joint statement issued by Secretary of State Rex Tillerson, Defense Secretary Jim Mattis and Director of National Intelligence Dan Coats.
Vitisho vyote vya marekani kwishney!
Tunasema siku zote NK ni mziki mwingine!
Marekani kaona NK si sawa na Iraq au Libya!
Mazoezi ya kivita yanayofanyika Korea ya kusini ni kama ngoma ya kibisa! Majoka mengi na makubwa lakini hayana meno! Ndo maana dogo wa mapank hana mbavu kwa kucheka!