Unatuma tu kawaida, ila kisizidi pound 4 - maana watakucharge customs.
Unayemtumia atatumia a notification ( a blue or yellow card kwenye box) kwamba mzigo umefika, then unaenda posta ( the package section ambayo ipo mwisho wa posta mpya, nje kidogo ya jengo la posta - the space between posta na the next building).Hii ni kama mambo hayajabadilika.
Siku njema!