Kayanda mtwebe
Member
- Nov 8, 2015
- 18
- 10
Mchakato wa kumtafuta kada Wa CCM atayehodhi na kuilinda CCM pale jikoni bungeni yamefikia patamu yaani 3 BORA ambayo imemuleta Dr Tulia Ackson Mwansasu ambaye ni Naibu mwanasheria Mkuu, mwanasheria mahakama kuu, pia ni Mhadhili Wa sheria UDSM baada ya kuchomozaa ndani ya 3 BORA sasa tunamtazama Dr Tulia kama kada wa chama ambae anaoneshaa uwezo, nafasi kubwa ndani ya CCM...KUNA MASWALI.MACHACHE YA KUJIULIZA.....
1.Je! Dr Tulia Amejiuzulu nafasi na nyazifa zake...??
2.Jee nafasi kugombea kwa hawa watumishi wa selikali zipo CCM tuu...??
3.Ni toka Lini Dr Tulia amekua mwanaccm ili tujue maamuzi yake ya kimajukumu hapo nyuma Kama hayakua na msukumo Wa kisiasa..??
4. Hivi huyu Dr Tulia ni kweli ataweza kutenda haki kwenye kesi yoyote ya kisiasa dhidi ya upinzani? Na je ile kesi ya kiuchaguzi ya mita 100 aliokua anasimamia Dr Tulia kumbe yeye alikua anaiwakilisha CCM na siyo selikali na haki haikuwepo...??
Wanajamvi nawasisha maoni, mawazo, mitazamo yangu....