Usombaji watu wakera makatibu

Usombaji watu wakera makatibu

Maswali ni mengi kupita majibu, ili ujue ukweli tafuta aliyehudhuria muulize utapata jibu sahihi,usiamini yanayosemwa jukwaani, yanaweza hayana ukweli wowote.
 
Mtu asiye mpu.mbavu hawezi kusoma kikaragosi kiitwacho "Tanzania daima" Kiongozi gani wa ccm anayeweza kufanya mahojiano na kijarida.

Kumbe Tanzania Daima! Hilo gazeti linalotumika kusafisha uchafu wa kwenye pampas?

View attachment 295548

View attachment 295549

View attachment 295555

View attachment 295557

View attachment 295560

View attachment 295561

View attachment 295562

View attachment 295563

CCM Kadi 02.jpg

CCM Kadi 03.jpg

View attachment 295567

CCM Hama.jpg

View attachment 295569
 
baadhi ya makatibu wa wilaya mbalimbali nchini wamekerwa na ugumu wanaoupata katika ukusanyaji wa wawatu sehemu mbalimbali ikiwemo na ya urais makatibu hao wamesema jukumu walilopewa ni gumu kwa kua pesa wanazopewa ni kidogo na hazitoshi kuwashawishi watu kuhudhuria mikutano yao kwani inatakiwa uwanja uonekane umejaa kwani sh/5000-10000 wanazotoa wengine wanazikataa

makatibu hao ambao hawakutaka majina yao yawekwe hadharani wala wilaya wanazosimamia walisema wilaya zote nchini zimepewa pesa ili kuratibu mikutano hiyo na hata kuwasafirisha watu kutoka sehemu mbalimbali ili uwanja uonekane umejaa.

Wakati mwingine hua tunapata tabu sana kwa kuwakusanya na kuwasafirisha kutoka katika maeneo husika hadi katika eneo la mkutano na kuwalipa shida ni kubwa sana wakati wa kuwapa nauli sisi tunakua hatujakabidhiwa fedha hivyo kuanza kusumbuana na viongozi wa misafara ya wagombea. Mikutano yote hasa ile ya urais inatubidi tukusanye watu wa kutosha ili uwanja uonekane umejaa na hivyo inatubidi kuwalipa pesa nyingi watu hao wanaohudhuria mkutano huo.

Makatibu hao walisema wamekua na wakati mgumu kuliko mwaka wowote walizowahi kufanya kampeni kutokana na watu wengi kutokua na mwamko na chama hicho na badala yake bila kulipwa wamekua hawafiki kwenye mikutano yao.

Naibu katibu mkuu ccm bara rajabu luwavi alipoulizwa juu ya shutuma hizo kutoka kwa makatibu hao wa wilaya wa ccm alisema hazina ukweli wowote na zina lengo la kukichafua chama huku akimsifu magufuli kua ana kipaji cha kipekee kinachovutia watu kuja wenyewe kumwangalia na kusikiliza sera

lakini luwavi alikiri kuna watu wana safiri umbali mrefu kwa ajili ya kumuona magufuli hivyo wao hawawezi kuwazuia kwa kua ni mapenzi yao lakini sio wanawapa pesa kama makatibu hao wanavyosema.

chanzo: tanzania daima

sasa kuna haja ya kuyaamini maneno ya mzee mkapa kuwa ni m....la na m.....fa
 
Yani bavicha mmeanza kuwatukana watanzania kuwa wanalipwa kuhudhuria mikutano ya Magufuli...shauri yenu octoba haiko mbali watawanyima kura...

Mbona ushahidi unaonekana tena ni wa picha
 
Mtu asiye mpu.mbavu hawezi kusoma kikaragosi kiitwacho "Tanzania daima" Kiongozi gani wa ccm anayeweza kufanya mahojiano na kijarida.

Magazeti ya ccm yanazidi kuwapoteza kila siku na wala hamtozindikuka mpaka dunia ifike mwisho na lowasa ndo raisi
 
Kusomba watu oyeee
 

Attachments

  • 1444226856722.jpg
    1444226856722.jpg
    48 KB · Views: 313
malofa wanaendelea kubebwa na malori. Malofa bado wako wengi tanzania hii tujitahidi kuwaelimisha watapungua hata kuisha kabisa siku 18 ni nyingi.

Ni ukweli usiofichika na hata wajitahidi kuukana lakini wananchi wote wanaelewa hivyo. Ni ukweli pia tunao wajinga wengi na malofa na ccm inaamini hivyo na kwa mshangao wanaweza wakakubali kuonja sumu mwaka huu na kumpa mgombea wao kura nyingi na kubaki na miyao yao waliyoizoea kwa miaka mingine kumi. Sumu daima haionjwi ila kama una ujasiri unaweza kuonja kichungu kama shubiri ila sio sumu. M4C FOR UKAWA NEVER FOR MAGUFULI. MABADILIKO UKAWA UKAWA LOWASSA.
 
Wamwambie mapema Lowassa shida zao,

Diamond hana nafasi tarehe 25/10/2015 - siku hiyo ni ya box, karatasi na kalamu (Obama)
 
Kumbe Tanzania Daima! Hilo gazeti linalotumika kusafisha uchafu wa kwenye pampas?

Ni makatibu wa CCM wanao toa taarifa hizo. Gazeti limewakilisha jumbe hizo kwetu ili tujue yanayo jili nyuma ya Pazia. Jana kuna mpuuzi nilimweleza kwamba Arusha watu walisafirishwa kwa Basi na Lori akakataa na kusema ni wakati wa Arusha tu. Na mwisho nikampa na taarifa kwamba hata Gari za bwana mdogo zilikodishwa ili kusafirisha watu. Mimi/dogo hatupo Tanzania Daima.
 
Mleta uzi eden kimario ,gazeti la Mbowe, ulitegemea nini hapo!
Tazama hizi video kama huamini magazeti. Ukiyahesabu hayo malori ni zaidi ya hamsini yakiwasomba watu wajaze mkutano wa Magufuli nyumbani kwao Chato. Sasa kama mgombea wa CCM hata kwao lazima awape watu chochote ndipo wahudhurie mkutano wake, huko kwingine je? Ndio maana CCM inakomba pesa zote hazina kuhonga wasikilizaji; acheni hizo, mnaifilisi nchi...!

[video]https://youtu.be/l4KTeZaPuKM[/video]

[video]https://youtu.be/6nWC97DGnTk[/video]
 
Back
Top Bottom