Mkuu wala usipoteze muda wako kujaribu kuwawekea evidence . Wana fahamu kwamba bila kusafirisha watu mikutano ya CCM haifani. Hapa wapo vijana wa CCM kazi yao ni kukataa Topic yoyote yenye kuonyesha mlengo wa kukibomoa chama cha Mapinduzi. Sisi tuna wajibu kwa kile tunacho amini.Tazama hizi video kama huamini magazeti. Ukiyahesabu hayo malori ni zaidi ya hamsini yakiwasomba watu wajaze mkutano wa Magufuli nyumbani kwao Chato. Sasa kama mgombea wa CCM hata kwao lazima awape watu chochote ndipo wahudhurie mkutano wake, huko kwingine je? Ndio maana CCM inakomba pesa zote hazina kuhonga wasikilizaji; acheni hizo, mnaifilisi nchi...!
[video]https://youtu.be/l4KTeZaPuKM[/video]
[video]https://youtu.be/6nWC97DGnTk[/video]