Uso wenye nuru ni ishara ya ukaribu kwa Mungu; uso uliopoteza nuru ni ya kuwa mbali na Mungu!

Mikopo Consultant

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2024
Posts
2,235
Reaction score
4,382
Mawazo haya nimeyatoa kwenye Biblia: Kutoka 34: 29-35. Musa alivyoshuka mlima wa Sinai, alipokuwa anafanya agano na Mungu, Haruni na wana wa Israel waliona ngozi ya uso wa Musa ikiwa inang'aa sana (japo Musa alikuwa hajui kama uso wake unang'aa na una nuru kali).

Na walipoona hivo, waliogopa kumkaribia Musa.

Kwahiyo ndugu zanguni: kwenye jamii tunamoishi, pendelea sana kutazama nyuso za watu. Hii itakusaidia sana kujiweka karibu na watu wema (walio karibu na Mungu) na kujitenga na waovu (waliojitenga na ufalme wa Mungu).

Uso ni mlango wa kiroho.
 
Watu wanadharau sana hii kitu na ndio maana wanafeli sana

Kuna wakati mtu unakutana na kiumbe ukiangalia uso unajua huu ni ukakasi ila unabaki na tumaini la moyo wake ambayo inataka mda kutambua

Tena sana ukikutana na muigizaji mzoefu

Mfano; mimi wakati ni mvulana wa makamo wanyama wa kufuga hasa Paka walikuwa wanajitenga mbali nami kabisa hata sikuwahi kutambua sababu ni nini kipindi hicho.!? Japo wakati fulani Nilipenda uwepo wao karibu yangu

Ila Baada ya kuwa mzazi na mlezi wa watoto hawaniogopi tena.! Tena wanaweza kufanya vituko mbele ya macho yangu ambapo kipindi kile cha uvulana wangu na katiba yangu ilihesabika ni Uhaini na wa kabaki salama

Kilichowafanya wajiamini mbele yangu kipindi hiki ndicho ninachojaribu kukizungumzia

Kuna lugha ambayo binadamu weusi tumeibeza na inaelekea kupotea kwenye jamii yetu kwa ushawishi wa elimu ya kuja na naona si kitu kizuri
 
Umeongea kinabii sana mtumishi; umejazia nyama vizuri mno
 
Mawazo haya nimeyatoa kwenye Biblia: Kutoka 34: 29-35. Musa alivyoshuka mlima wa Sinai, alipokuwa anafanya agano na Mungu, Haruni na wana wa Israel waliona ngozi ya uso wa Musa ikiwa inang'aa sana (japo Musa alikuwa hajui kama uso wake unang'aa na una nuru kali).

Na walipoona hivo, waliogopa kumkaribia Musa.

Kwahiyo ndugu zanguni: kwenye jamii tunamoishi, pendelea sana kutazama nyuso za watu. Hii itakusaidia sana kujiweka karibu na watu wema (walio karibu na Mungu) na kujitenga na waovu (waliojitenga na ufalme wa Mungu).

Uso ni mlango wa kiroho.
Akili za kuchambia za mwamposa hizi ....tangu nizaliwe sijawai kukutana na mkristo mwenye akili hata asilimia 25%...wakristo hakuna hata anaye ekewa biblia kwa asilimia 10 hayupo nasema hayupo.
 
Akili za kuchambia za mwamposa hizi ....tangu nizaliwe sijawai kukutana na mkristo mwenye akili hata asilimia 25%...wskristo hakuna hata anaye ekewa biblia kwa asilimia 10 hayupo nasema hayupo.
Punguza wingi wa hasira. Kwani ni kitu gani hakipo sawa kwenye bandiko langu?

Tubishane kwa hoja: Acha kujificha kwenye kichaka cha kutengeneza shutuma za uongo, ukidhani tutakuona mwerevu!
 
Hoja yako ya kutazama sura ni upumbavu kasome upya maandiko ..ndiyo maana walio kuja kumjaribu yesu walimuingia kwa gia ya kweli.na haki ...wakimwambie wewe yesu utizami sura wala mali bali wafundisha njia za mungu katika kweli
 
Jazia nyama hoja yako na upunguze jazba; kwani kuna ugomvi?
 
Back
Top Bottom