uso wangu jamani

Lady G

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
515
130
habari zenu wapendwa. Pls msaada wenu wahitajika hasa madaktari wa ngozi, uso wangu umetoka pimples na zimeacha spots kibao, nimenunua persol cream nimetumia siku 1 tu, uso unavuta ka nimechanjwa viwembe, msaada tafadhali nitumie nn ngozi yangu irudi kawaida kuna mtu kanishauri nitumie beterdem oitment je itafaa? Msaada pls
 
Achana na hizo cream na sabuni zenye chemicals zitazidi kukuumiza jaribu kutumia vitu vya asili kama limao na tango kunawia pakaa mafuta kama olive oil utaona mafanikio
 
Ok!nimewahi kutoa post hum javin ya kutatua tatizo lako. Ningependa kukusaidia nitafute 0715720276 naamin hautojutia kama utayafanikisha nitakayo kuambia.
 
asanteni sana kwa ushauri, nitatumia ushauri wenu kwa kujiponya, mbarikiwe sana ndugu zangu. Kwa anaetaka kunisaidia zaidi pls call
 
hivo vidoto vinaweza kutoka kw kutumia cream za depigmentation zinapatikana pharmacy, ila kwanza nenda kwa dermatology akupe ushauri bcuz tunatofautiana ngozi mwenzio inaweza ikamfa ww isikufae
 
Wanasema Sperms zinasaidia (huu sio utani). Kama una mwenza wako unayemwamini akutolee akupe upake.
 
Pata kitu yenye vitamin E
Palmers Cocoa butter ni nzuri!

Nzuri zaidi ni mafuta ya mawese, ukiweza vumilia harufu na rangi!

Usitumie lightening cream yoyote coz itafanya mabaka yaonekane zaidi!

Ningekuwa mimi, ningeacha with time inaisha yenyewe!
 
Wanasema Sperms zinasaidia (huu sio utani). Kama una mwenza wako unayemwamini akutolee akupe upake.

Mwaya hiyo ilitumiwa kama njia ya kutongozea teenagers kipindi kile cha adolescency. Don't go for it!
 
weka hapa tuuone tunaweza shauri vizuri zaidi, inawezekana unaita sports kumbe ni mabaka, unaweza kusema chunusi kumbe ni upele
Pole kwa maumivu bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom