Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,849
- 67,285
Pale Uhuru Kenyatta anapodhani JK bado ni Rais wa Tanzania...
Matunda yake ni kodi zetuMwache ale matunda yake inakuhusu nini unayeuliza nani anagharamikia.? Ulitaka familia yenu itoe pesa
Sikiliza wimbo wa Kiba wa 'Nagharamia'...Kikwete anagharamikiwa na nani Ug?
SERIKALI, una swali lingine??Kikwete anagharamikiwa na nani Ug?
Mwache ale matunda yake inakuhusu nini unayeuliza nani anagharamikia.? Ulitaka familia yenu itoe pesa
Kulikua na haja gani ya kuuliza hilo swali humu jf,kwanini usimpigie simu kumuuliza nani anamlipia,kama ulikua hutaki ujibiwe humu.We ndo msemaji wa huyo kikwete???
Acha wehu