Uso kwa uso na Mamushka

Namaanisha usalama wa dauni steaz, usisahau kuvaa kombati

Mi mwenyewe nilikutana na Zion Daughter kwenye daladala,hakunijua,ila nilichungulia simu yake nikaona ana'browse Jei efu,ila ku'scroll juu,si nikaliona jina la binti sayuni.........Nilimfotoa picha kisirisiri....akibisha nitaiweka hapa......!!!
 
Last edited by a moderator:
Hebu mweke hapa nimjua

Alinikopa hela PM hajarudisha

Mi mwenyewe nilikutana na Zion Daughter kwenye daladala,hakunijua,ila nilichungulia simu yake nikaona ana'browse Jei efu,ila ku'scroll juu,si nikaliona jina la binti sayuni.........Nilimfotoa picha kisirisiri....akibisha nitaiweka hapa......!!!
 
Hao kweli watakuwa walinzi wa ukweli maana sijawahi ona mabausa wa kutosho, huku kwetu tuna mabaunsa wa kutosha lakini hawana lolote.
Pole sana mkuu kwa kukuchanganya . Mikono imeteleza bahati mbaya ''mabaunsa wa kutosha''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…