Uso kwa uso na Erotica

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Dah weekend hii jana nilimtembelea Erotica,ikabidi tusnap,weekend ilienda bomba sana na tulibadilishana mawazo.Ila im so happy kuonana naye.....Msijiulize sana kwanini siku hizi haonekani chitchat na MMU,imebaki miezi kadhaa aanze kulea so msishangae tukija kuomba jina la mtoto humu chitchat kwa ma-great thinkers HYGEIA popote ulipo nilikusaka sana bro ila congratulesheni nyingi zikufikie,shemeji wa ukweli aisee.
533179_446819388674009_1948140400_n.jpg
 
Last edited by a moderator:

Nakushukuru Excellent kwa kututembelea na ripoti yote ya ujio wako alinieleza my emerald Erotica. Dah! picha mlopiga iko poa sana. Ulitumia kamera ipi? Ile digital ya yashca au olympus. Olympus ni kiboko aisee! Nitumie hiyo snap kwenye email yangu hii: terenene@hotmail.com thanks.
 
wajameni hili penzi langu la moto na caramel Hygie naona liwekwe pause kdg,

ninafuraha hadi naogopa, hizi promotions zitafanya wachawi watuloge!

najua papito Hygie na mamito Kaunga wamenipiga stop hapa ila imebd niingilie kati.

nataka tudumu milele, macho ya husuda yataua hii makitu hii.
 
Back
Top Bottom