Usizubae kenye mikusanyiko

Clayton Paul

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
2,246
Reaction score
4,762
Watu washamegewa fungu wakamat vijana kwa wingi zaidi.
Hawa wataenda kusafisha mapori yaliyonunuliwa na vibopa na kupiga Jembe kwa muda usiojulikana.

Huku upand wa pili ageni nao wananunua maeneo ya serikali na kuyatumia kulima madawa kwa ulinzi wa mwenye Ardhi ( Muuzaji ).

IGP 🤝 CGP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…