ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,802
- 60,648
Kaitwa mseng*** na demu wake kisa kashindwa kumtumia buku 10, .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu ndege JOHN kwanza umepatwa na nini mpaka ukaandika hii kitu?
Najua there is something behind
ukiacha kuchagua umechagua kuacha
ulijua aje alizaa nje ya ndoa, maana njia ya kujua pengine wewe ndie baba wa hako katoto, siulizi kwa ubaya lakini naona ajabu unajua ati mtoto sio wa mume wake mkuuwanawake wanatisha hapa jirani yangu mdada kazaa nje ya ndoa mumewe karidhika tu so sad
wanawake ndio wale wale bro..Daha no coment ila sio kwa wanawake wote wakuwafanyia hivyo wapo wanaojielewa na wanaplay part yao vema kabisa hata ukikenua meno yako sabini bado watakupa nafas yako km kidume tuu