Usiyoyajua kuhusu ubongo

Usiyoyajua kuhusu ubongo

Mtuache

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
260
Reaction score
707
1. Ubongo umeundwa na mafuta. Asilimia 60% ya ubongo wa binadamu ni mafuta yaani ubongo ni moja ya fat organ. Fatty acid iliyomo ndani ya ubongo ni msaada mkubwa katika afya ya ubongo kwa kuhakikisha ina busti virutubisho kwa jili ya ukuaji mzuri.

2. Ubongo ukamilisha ukuaji au kujiunda kwa miaka 25. Unaanza kukua kutoka nyuma kwenda mbele kwahiyo ile sehemu ya mbele ya ubongo inayo husika na maswala ya kujieleza yani reasoning na planing ukua taratibu. Ukuaji wa ubongo ni kwa maana ya kukomaa au ukomavu.

3. Tafiti za kisayansi zinaonyesha kwamba, uwezo wa ubongo wa binadamu kuifadhi kumbukumbu hauna kikomo. Ubongo wa binadamu una nyuroni zaidi ya quadrillion moja (Trillioni 1000). Nyuroni moja huungana na nyuroni nyengine hivyo kuongeza uwezo wa kuifadhi kumbukumbu. Kumbuka: baadhi ya magonjwa huathiri moja kwa moja uwezo wa ubongo kutunza kumbukumbu; mfano:- ALZHEIMER'S

4. Ubongo wa binadamu unasafirisha taarifa kwa spidi ya mita 119.8 kwa sekunde. Msisimko wa nyuroni huzalisha umeme, umeme huo husafiri seli hadi seli. Ili kupima hii spidi Chukua huu mfano:-

unapoitwa jina "John njoo" mawimbi ya sauti hupokelewa kwanza masikioni mwako, sehemu ya nje ya sikio hio imekaa kama dishi inaitwa "pinna". Mawimbi hayo yatazungushwa hapo zaidi ya mara 20 ndio yaingizwe ndani, yatasafari mpaka kwenye ngoma ya sikio (ear drum) hio ngoma itakuwa stimulated na itatengeneza kitu mfano wa mtetemo. Mtetemo huo utapelekwa hadi kwenye ubongo kupitia nyuroni. Ubongo utatafsiri na kutoa maamuzi.

Yaani utajua john ni jina lako hivyo umeitwa, licha ya kuitwa umeambiwa njoo yaani uende, utamjua aliyekuita tena utamjua kwa majina na nafasi aliyonayo kwako kama ni baba au mama au nani. Utamjua aliyekuita yupo wapi kutokea ulipo

maamuzi yanaweza kuwa kwanza unapaswa uitike, hivyo utaitika "naam" au "abee" kutoka umezoea kumuitikiaje huyo mtu. Maamuzi mengine ni Uende au usiende na kama uende kwanini uende, kama usiende kwanini usiende. Yote haya na mengine mengi yanafanyika kabla hata ya sekunde kuisha

UBONGO WA BINADAMU UNA MAMBO MENGI NA UNAWEZA KUFANYA VITU VINGI VYA AJABU. MACHACHE YANAFAHAMIKA NA YAMEGUNDULIKA, MENGI HAYAFAMIKI NA HAYAJAGUNDULIKA

Ngoja nikuache na hii:-
JE WAJUA ubongo ndio kiungo pekee katika mwili wa binadamu kilichojipa jina lenyewe. Yaani mkono unaitwa mkono kwasababu ubongo uliamua huo mkono uitwe hivyo mkono. Lakini ubongo kuitwa ubongo, ni ubongo wenyewe uliamua kuwa aitwe ubongo.
 
Aaah acha hizo mkuu, kwani Ubongo ni personality hadi ujipe jina wenyewe??, sasa mbona wanyama nao wanazo bongo nazo zimejipa majina??
 
Hivi umenielewa kweli nilichoandika? Kwenye hio statement umeona nimemtaja mnyama au binadamu?
 
Mbona mnatuchanganya sasa. Wanasema chakula cha ubongo ni carbohydrates pekee alafu mnatuambia 60% ya ubongo ni fat sielewi hapo
 
Hivi umenielewa kweli nilichoandika? Kwenye hio statement umeona nimemtaja mnyama au binadamu?

Kwani ubongo anao binadamu pekee??-- kwani haikuwezekana kwa binadamu kuupa jina kwanza ubongo wa mnyama ndipo kisha jina hilo hilo ndio akaupa ubongo wake??

Ingalikuwa ni binadamu pekee ndiye mwenye ubongo au huo unaoitwa ubongo kwa wanyama usingalikuwa na jina hilo basi kauli yako ingekuwa na mashiko.

We humans and animals possess the similar organ known as Ubongo and virtually it performs the similar fuctions, think about it.
 
Humans and animals don't possess the similar brain. Usiseme hivyo utachekwa. Usiangalie core functions ukasema ubongo za binadamu na mnyama ni sawa.

Binadamu tu kwa binadamu hawana ubongo sawa sembuse binadamu na mnyama. The moment umejifunza jambo jipya ubongo una badilika shape, inaweza kuwa a slice change lakini ndo ushabadilika into a new shape.

Ubongo wa mnyama una olfactory bulb kushinda ya binadamu. Unajua kazi ya olfactory bulb? Unazijua olfactory nerve?

Kuna baadhi ya wanyama mfano nguruwe, ubongo wake unaweza ku'detect na kutafsiri nguvu ya sumaku. Na hio humsaidia katika shughuli zake sitosema hapa ni nyingi mno.

Unazijua glia? Unazijua Neurogenesis? Oya usirudie tena hio kauli yako kwa mtu mwengine. Labda ubongo wako wewe ndo upo sawa na wa mnyama, lakini sio sisi binadamu wengine.

Unajua kwanini binadamu ana mchunga ng'ombe na sio ng'ombe ana mchunga binadamu? Utasema ng'ombe hawana akili. Akili inakaa au inatengenezwa kwenye ubongo. Sasa kama wewe na ng'ombe wote mna ubongo kwanini yeye hana hio akili wewe unayo?

Nimemaliza
 
Umemaliza nini??

Ni Wapi nimesema Ubongo wa binadamu na mnyama ni sawa??, kitu kikiwa " similar" na kingine vinakuwa vipo sawa??

Suala linabaki pale pale kwamba we humans have the brain and so have animals, the brain in human is SIMILAR to the animal brain, similarity ni kushabihiana na sio kuwa equal or the same.

Ubongo hauwezi kujipa jina wenyewe bali ubongo unapewa jina, yawezekana, ni kutokana na wanyama kuwa na ubongo similar na huu ubongo wetu na hivyo jina "ubongo" likaanzia kwa hao wanyama na baadaye likaja kwetu.
 
Back
Top Bottom