Usiyoyajua kuhusu Coco Beach!

Vp 0715 ilisalimika? manake....!!!!!
Hahahahahaha vibaka hawana time na 0715 huwa ni pesa tu nilivyo waachia simu na wallet wakaanza kugombania hiyo walet wenyewekwa wenyewe mi na demu wangu tukasepa
Kula mke wa mtu uone 0714 itakavyofumuliwa
 
Nakupa hii: ichukue na uifanyie kazi itakusaidia kwa next time. ukiwa na mpenzi wako unaempenda kwa dhati kabisa kutoka moyoni jitahidi kuwa unampeleka sehemu salama na tulivu, na sio hatarishi km huko
 
so why coco beach,nenda cine club,kawe club,ama beach za kueleweka.kuna wakati nilikua mteja sana kule kwa wanajeshi kule kawe bia bei chee,kuna siku walimbananisha jamaa kichapo mpaka alikunya.sikwenda tena
Mkuu enzi hizo m na shemijio ndio tunaanza mahusiano,tulibananishwa na watu walojifanya mamwela wakatuchukulia kila kitu naul tukasaidiwa na wasamalia wema,tangu siku hiyo nimejifunza kwenda beach za wastarabu​
 
Nilijifunza toka 2012 hivo sirudii tena kwenda beach michwara na demu wangu May be na washikaj tu km leo tumeenda coco beach na kukutana na demu mkali sana kumshobokea tu akaomba chips na kiepe hahahahahaha
 
Aloo
Ishanitokea hiyo nilikaa na dem wangu ndani ya gari polisi wakaja wakasema tuna duu
Ilikua saa 12 jion
Basi wakasema twende oysterbay police
Kufika njiani tukamalizana
Nikawatoa 20.
Police njaa sana.
 
Umenikumbusha miaka 5 iliyopita nilikua nimekaa na mshikaji wangu mida ya saa 1 jioni tukipiga story hapo coco mara ghafla akaja askari akatukamata
Akadai tulikua tunavuta bangi kisha akaanza kutunusa mikono kahakiki harufu ya bangi wakat sisi hatukuwa wavuta sigara wala bangi
Tulivutana pale mwisho akatuachia ....yani ni uonevu mtupu
 
SOMO ZURI. VP BADO COCO NI FREE AU MANJI AMEANZA KUTOZA CHAMBI?!
 
Msukosuko nilioupata coco na binti mmoja hivi sintokaa niushahau maisha yangu yote😱, wale polisi wana njaa sana, hivi hawalipwi mishahara?
mkuu yale ni mawindo yao! wanajiongeza kwa kujiajiri kule.
 
Nafikir Makonda kashasoma huu uzi na ameuelewa vijana tunavyopata shida na kukaa kwa waswas Coco Beach tutapenda kuona anachukua hatua kwa hao polis njaa
Polisi hawatamuelewa mkuu! yale ni.mawindo/machimbo yao.
 
Mkuu enzi hizo m na shemijio ndio tunaanza mahusiano,tulibananishwa na watu walojifanya mamwela wakatuchukulia kila kitu naul tukasaidiwa na wasamalia wema,tangu siku hiyo nimejifunza kwenda beach za wastarabu​
Naona watu.kibao tumewahi lizwa na hawa askari wezi!
 
kila mtu pale kwa askari ni deal!. wasumbufu
 
Amia beach yetu Ununio hakuna hizo takataka na Askali wa huku ni kulinda usalama wako au muda ukiisha kukuondoa uende home na siyo hizo biashara njaa.
 
sawa mkuu.ushauri mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…