Rugaiyulula
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,524
- 1,706
kamwulize katibu wa chama kama hata mashine ya kuchapisha magazeti ilinunuliwa mpya Bulgaria ilivyokuja ikawekwa stoo walivyosahau kidogo ikauzwa na asiyejulukana na kwa bei isiyojulikana na kwa sasa tunapeleka flash pale MCL kwa wafanyabiashara wa Kenya kuprint hapo ujue hata izo boing za Nyerere walizifanya ivyo ivyo
Kuna Jina jingine zaidi ya hilo?Wewe ni mchochezi.
Hiyo picha ya tatu hapo ni baa ndani ya dege hilo?
Lakini tuliwahi kuwa na vitu kama hivi mkuu
tunaanza upya! We have a long way to go! Jiulize viko wapi sasa. Hivi vilikuwepo hata kabla hatujaanza kuchimba madini mengi na kuwa na gesi kama sasa. Jiulize Nyerere alimudu vipi tena tukiwa katika siasa hasa ya ujamaa na kujitegemea. Waliompokea sasa ndio wakaingia mnadani kuuza viwanda na mashirika ya umma kwa bei ya kutupa. Leo nchi zote zilizokuja kupata uhuru baada ya sisi zimetupita kwa mbali sana!
Hicho ndicho kigezo chako.?Ntumie picha yako huwezi jua bahati ikawa kwako
Hicho ndicho kigezo chako.?
Labda tuwaulize akina Mkapa et al walizipeleka wapi. Bora wangeacha hata scrapa tukaziweka hapo ikulu ambapo itakuwa jumba jipya lla mkumbusho baada ya JPM kuhamia Dodoma.Ivi hizi zilienda wapi ziliibiwa, zilichukuliwa na wanaotudai au zipo kwenye matengenezo au zilipotea
Wacha nijikusanye na mimi nipasue anga na dege hilo nadhani baada ya miaka 5 kabla nitakuwa hai nitakuwa nimepata ka nauliNdio mkuu, Airbus A380 upande wa Business class juu ndani kupo hivyo. Hiyo ni counter ya Bar iliyopo upande wa Mkiani.
twende wote ili nipate mtu wa kunipiga picha ......Kuna kingine labda unaweza suggest?
Zilitoweka pale wapiga dili walipouza ATCL kwa SAA!Ivi hizi zilienda wapi ziliibiwa, zilichukuliwa na wanaotudai au zipo kwenye matengenezo au zilipotea
Halafu najiuliza hizi ndege zitarudisha kweli hizo pesa walizotumia kuzinunua? Maana ni mabilioni ambayo yangeweza kutatua tatizo la maji kabisa dsm. Sasa wamepaki wanasubiri nini? Gharama za uendeshaji zitakuwaje? Hivi Nyerere aliwezaje kufanya mambo makubwa kiasi kile halafu wasomi wanashindwa?! Yaani maviwanda, mashirika kama hayo ya ndege aliweza kuanzisha wakati huo tulikuwa tunachimba almasi tu. Sasa hivi tunachimba kila aina ya madini, tuna gesi, mbuga za wanyama nk lakini bado ni shida. Sasa tumefika wakati ndio tunaibiwa mpaka wanyama kabisa huku tukiwa macho kabisa na vifaa vya kisasa kuwaona wezi. Katika enzi hii ya viongozi wasomi wa ngazi ya Phd, maprofesa ndio tunashindwa kesi kila siku na kutakiwa kulipa fidia ya mabilioni. Ndio enzi ambazo watu wanagawana migao ya mabilioni ya pesa za umma EPA, Escrow kama njugu. Mtu ana lala anaamka anakuta amewekewa bilioni 1.6 halafu anatoa milioni 10 za mboga. Ndio nyakati tunazoweka ma milioni kama cha juu kwenye ununuzi wa rada nk nk nk. You can't believe. Yaani hata kama Nyerere alifanya makosa ili kuwa ni ya kibinaadamu na ilikuwa ni kwa maaendeleo ya watu wote sio kujinufaisha yeye mwenyewe.Tena ya kwetu bado imehifadhiwa pale Terminal 1 jeshini ikisubiri wakubwa waione ndiyo ifanye biashara.
Mkuu Tulimumu udesi huoo!!Ya kwetu
Wenzetu!
Panga boi yetu imewashinda emirate mbali sanaMwenye picha ya pangaboi yetu please aniwekee hapa ili nione na sisi kumbe tumo
Jamani bora hata kapangaboi kuliko tulivokuwa hatuna kabisakandege ketu jamani.....au katakuwa kanaenda Chato tu.
Hivi barafu hizi pangaboi ni za karne hii au ya 20 maana mi huona sana zisizo na mapangaMkuu Tulimumu udesi huoo!!
Uganda na Burundi hawana ndege hata za dawa....Labda hao Rwanda na Kenya.Lkn hata Kenya kwenye KQ wana 29% tu,nyingine ni za KLM na Familia ya Uhuru Kenyata.Walau sisi sasa tuna ndege tatu na zote ni 100% Gvt.
Ila jamani mnapondaaa!!!Loooh
Acha tu sisterdah tumemkosea nini Mungu jamani.
uwezo wa kuwa nacho kikubwa zaidi tunacho sema tu usanii mwingi sana.Jamani bora hata kapangaboi kuliko tulivokuwa hatuna kabisa
dah tumemkosea nini Mungu jamani.