Agustino Regnald
JF-Expert Member
- Aug 15, 2016
- 501
- 428
Ipo sema tu lini na wapi!!dah nahitaji offer ya kupanda hii ndege.
Mwenye picha ya pangaboi yetu please aniwekee hapa ili nione na sisi kumbe tumo
tuanzie dubai.......Ipo sema tu lini na wapi!!
kandege ketu jamani.....au katakuwa kanaenda Chato tu.Ya kwetu
Wenzetu!
Lakini tuliwahi kuwa na vitu kama hivi mkuukandege ketu jamani.....au katakuwa kanaenda Chato tu.
dah tumemkosea nini Mungu jamani.Lakini tuliwahi kuwa na vitu kama hivi mkuu
tunaanza upya! We have a long way to go! Jiulize viko wapi sasa. Hivi vilikuwepo hata kabla hatujaanza kuchimba madini mengi na kuwa na gesi kama sasa. Jiulize Nyerere alimudu vipi tena tukiwa katika siasa hasa ya ujamaa na kujitegemea. Waliompokea sasa ndio wakaingia mnadani kuuza viwanda na mashirika ya umma kwa bei ya kutupa. Leo nchi zote zilizokuja kupata uhuru baada ya sisi zimetupita kwa mbali sana!
kamwulize katibu wa chama kama hata mashine ya kuchapisha magazeti ilinunuliwa mpya Bulgaria ilivyokuja ikawekwa stoo walivyosahau kidogo ikauzwa na asiyejulukana na kwa bei isiyojulikana na kwa sasa tunapeleka flash pale MCL kwa wafanyabiashara wa Kenya kuprint hapo ujue hata izo boing za Nyerere walizifanya ivyo ivyodah tumemkosea nini Mungu jamani.
dah hatari sana jamani.kamwulize katibu wa chama kama hata mashine ya kuchapisha magazeti ilinunuliwa mpya Bulgaria ilivyokuja ikawekwa stoo walivyosahau kidogo ikauzwa na asiyejulukana na kwa bei isiyojulikana na kwa sasa tunapeleka flash pale MCL kwa wafanyabiashara wa Kenya kuprint hapo ujue hata izo boing za Nyerere walizifanya ivyo ivyo
Tena ya kwetu bado imehifadhiwa pale Terminal 1 jeshini ikisubiri wakubwa waione ndiyo ifanye biashara.Ya kwetu
Wenzetu!
dah nahitaji offer ya kupanda hii ndege.