Usiwe rahisi kiasi hiki dada


Umeyataka mwenyewe, dada hana makosa. Kuwa serious na mahusiano, kwa tabia hiyo AIDS haiko mbali na wewe. Chagua mmoja mwaminifu au funga ndoa.
 
Kwa nini mtu asiwe straight hii inapunguza uanaume wake..
Amwambie tu ukweli ampe na sababu za msingi,
both huyu mwanaume na mwanamke wajinga tu.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa!mwenyewe uliyataka,Siku ya kwanza tu umempeleka home!Hiyo inaonesha we mwenyewe ulimuona wife material,unalalamika nini sasa.
Kama uliona wa kupita kwa nini usingeenda nae nyumba ya kulala wenyeji?Lako hilo bro.
 
Msome Pendael24 hapa chini utaelewa...



Asante!




Achana naye!


Jawilat ni huyu mvulana mmoja tu..!
ooh kumbe ni mvulana,!!hapo gheto ni ya kaka yake kamuachia kaka kaenda field,sasa mvulana anawaza itakuwaje kaka akirudi!!
 
Last edited by a moderator:
Km yeye aliwahi kukupa na wewe ulimpa ya nini....woote mlikuwa na minyege mmepeana ngoma droo....Angekuzungusha ungesema so NYAMAZAAA





 
huyo ndio ashakukubali kabisa huna haja ya kubembeleza kuoa....Malizia kabisa coz kakurahisishia...We ulikuwa unamfanya wa kupitaeehh...imekula kwako......Km mimi nang'ang'anaaa





 
hooooo Mamaaaaa ! humepiga ikulu hapo
 
loh ebu mpende mwanamke mwenzio..unataka akagegedwe kwenye guest tena..anaonekana kabisa kuwa anaenda kugegedwa.
Kwani huko nyumbani anako pelekwa anaenda kuosha vyombo? Lol....



"The truth is hard to swallow when you're choking on your pride."
 
Kwani huko nyumbani anako pelekwa anaenda kuosha vyombo? Lol....



"The truth is hard to swallow when you're choking on your pride."

hahaha hapana but atleast sio kama unavyoingia guest pale basi inajulikana kabisa huyu anaenda gegedwa.
 
hahaha hapana but atleast sio kama unavyoingia guest pale basi inajulikana kabisa huyu anaenda gegedwa.

Mzabzab, na weye kwa visa all the same....,,,,


"The truth is hard to swallow when you're choking on your pride."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…