Usiwe rahisi kiasi hiki dada

ulikuwa unabeep kapiga sasa unaogopa kuongea..... mkuu hama wewe binti kapata pa kufia
 
Kuna kosa kupewa papucci cku ya kwanza?????? utamu hukupata!!!!!!!!
Kama unampenda sioni kama ni inshu kuhamia kwako
 
Kwani ulipo mchukua nyumabni kwako ulimpa T&C? umempeleka kwa ubahili wako wakuchukua hata guest house chumba cha elfu tano, umejipiga mwenyewe usilie na mtu,na bado unampenda manake usingeshindwa kutafuta njia yakumwambia aji pange...........
 
loh ebu mpende mwanamke mwenzio..unataka akagegedwe kwenye guest tena..anaonekana kabisa kuwa anaenda kugegedwa.
 
ratio za male to female zinazidi kuthibitisha kuwa males are few in relation to women,

watch out, soon or later utapewa unexpected pregnancy, mwanzo wa kuyumba kimaisha kama hujajipanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…