Usiwe lofa

Usiwe lofa

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,092
Reaction score
6,040
Hicho kiwanja andika majina ya watoto wako, usiwe loofer.

Kama mkeo hakusikilizi, wewe ni loofer.

Kama mkeo anakupangia namna ya kutumia ela zako wewe ni loofer.

Kama mkeo umemfungulia biashara lkn ukimuuliza kuhusu maendeleo ya biashara anakuwa mkali jua wewe ni loofer.

Kama unahudumia demu na hujawahi kula mzigo wewe ni loofer.

Kama mkeo anahitaji kila kitu kiwe chake maduka, na biashara, wewe ni loofer.

Wasalaaam nawakumbusha hivi viumbe sio vya kuchekeachekea hovyo.
 
Mtoto ni wa mama.

Kuwa na kaeneo kako ka kupumzika, kareserve kwenye akaunti kwa ajili yako, bima ya afya n.k.

Iwapo Utafika wakati mkeo na wanao hawakupi priority tena utavihitaji mno hivi vitu, ila iwapo mkeo na wanao watakupenda na kukujali baba yao basi utavitumia pamoja nao.
 
Back
Top Bottom