Usiwe dhaifu, songa kibabe

Usiwe dhaifu, songa kibabe

Mapenz n matam wote
Mpendane kwa dhat
Ule upendo wa moyon kitu
Really aiseee mtainjoy sana

Ukiambiwa kuna,sku shetan
Atapta mbele yenu hutakubali
Yan
Hahaha, Ticha kama nakuona unavyowaburuza akina madame naniliu
 
Kwenye mapenzi principal nzuri ni hii


Usijiweke uko peke yako, jua kuna mwingine fanya mambo kwa kushindana umshinde
Tatizo wengi wakioa au kuolewa wanadhani mech imeisha

Jua mech bado endelea kushindana mpaka kifo
Unashindana na papuchi? Tangulini mtu akashindana na alipotokea?
 
Back
Top Bottom