Usiwe dhaifu, songa kibabe

Usiwe dhaifu, songa kibabe

Aiseee utan gani huu,hilo
16231014_266731153759938_2613514696564670464_n.jpg
zigo ningelipataaaa
Sure.. Alafu jina lako lilivyokaa inaelekea una zigo la kuvunja chaga
 
Mapenz n matam wote
Mpendane kwa dhat
Ule upendo wa moyon kitu
Really aiseee mtainjoy sana

Ukiambiwa kuna,sku shetan
Atapta mbele yenu hutakubali
Yan
 
Ukikataliwa move on ni jambo zuri sana
Una ya treat mapenzi kama gwaride hakuna kurudi nyuma ni kusonga mbele iwe kwa mwendo wa taratibu au mwendo wa haraka
Sasa kamanda ( mungu) akisema nyumaaaaaa geuka,
Si unarudi ulikotoka.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Kwenye mapenzi principal nzuri ni hii


Usijiweke uko peke yako, jua kuna mwingine fanya mambo kwa kushindana umshinde
Tatizo wengi wakioa au kuolewa wanadhani mech imeisha

Jua mech bado endelea kushindana mpaka kifo
 
Leo umeamua,thread km ya 3 iyo zenye kuhusiana,yapi yamekikuta? kuwa mubashara
 
Back
Top Bottom