Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 1,670
- 3,269
Habari za wakati huu wana JF..
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada..
Tumekuwa tukisikia au kuona baadhi ya ndugu au rafiki zetu wakilalamika kuwa marafiki zao wamewatenga..
wengine wamebadilika hawawakumbuki tena kama ilivyokuw hapo kabla..
Naomba nikukumbushe kitu katika maisha..
Kawaida Marafiki huja na kwenda kulingana na sababu zifuatazo
1. Mazingira
Unaweza kupata rafiki kwa sababu ya mazingira mliyopo inaweza kuwa kazini na baadaye kazi inapoisha au mmoja kuhamishwa na urafiki unaishia hapo.
2. UMRI
Kuna umri mtu atafikia na kuona baadhi ya marafiki hawana faida kwake akaamua kuwapunguza.
3. Ndoto tofauti
Mkiwa kwenye urafiki na mkajikuta kila mtu ana ndoto yake ktk maisha mara nying urafik huo huwa haudumu muda mrefu..
4. Mafanikio
Hapa ndipo urafiki mara nyingi hufa kwa baadh ya watu..
Wengi ambao wanakuwa wamefanikiwa huanza kujitenga na marafik zao wa zaman(ambao wanajitafuta) na kuunda urafiki na watu wapya waliofanikiwa..