Kuua ni Dhambi Na hukumu yake iko hapahapa duniani 'Na hukumu yako ni kifo' Nawewe uta uua tuNiliwahi kuandika humu ndani kuwa tujijengee utamaduni wa kukataa kuua askari kwa sababu yoyote ile.
Katika jamii zetu kuna watu wengi ambao wamepitia dhuluma kubwa wakiwa mikononi mwa polisi.Kuna ambao imebidi wajinasue kwa kutoa hongo na kuna ambao wametoka Polisi wakiwa vilema,hawa wote wana chuki ndani ya nafsi zao dhidi ya polisi lakini bado si sahihi kuua askari.
Ukiua askari unaiingiza familia yako,kijiji chako na jamaa zako wa karibu katika msukosuko mkubwa na kwa mimi ni afadhali aumie mtu mmoja kuliko jamii nzima.
Kama ulipata taabu,mateso au hata kupoteza ndugu mikononi mwa polisi usilipize kisasi kwa kuua askari.
Anapiga raia wakorofi Kama weweNa wao waache ubabe na uonevu kwa raia. Unakuta askari
anampiga binaadamu kama anampiga punda. Hawana huruma hata kidogo.
Ni kweli lakini tuangalie consequencies za ku retaliate,mara nyingi haziishii kwako na kwa hawa wakwetu wanaweza hata kumbalka mkeo katika kulipiza kisasi.Ni afadhali niumie na hata nife mtu mmoja kuliko kuwatia katika madhila makubwa ndugu na rafiki zangu (Kwa Tanzania).Na+Cl --> NaCl kwenye hio ikwesheni;
ukireact sodium na chlorine unapata sodium cloride na ukiheat sodium chloride unapata sodium na chlorine.. (kwamba kilichopo left side ndio kilichopo right side).. Sasa bwana wewe hawa polisi wanataka wao wapendwe na kuheshimiwa wakati wao ni wakatili wa kutupwa! hawataki kureturn *LOVE* but *HATE*.
OSOKONI:Anapiga raia wakorofi Kama wewe
Ni kweli lakini tuangalie consequencies za ku retaliate,mara nyingi haziishii kwako na kwa hawa wakwetu wanaweza hata kumbalka mkeo katika kulipiza kisasi.Ni afadhali niumie na hata nife mtu mmoja kuliko kuwatia katika madhila makubwa ndugu na rafiki zangu (Kwa Tanzania).