nelly nashon
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 242
- 521
Watu wamekosa kujiamini, wana kuwa over excited , they should calm down and make the show greatUtamu mnapenda nguvu hamna ngoja waje uliowashauri
Side effects kuu Ni Anatomical and psychological, anatomical effects Ni kuwa hudhoofisha misuli ya uume, erectile Muscles, hii huufanya uume kuwa dhaifu mno na kushindwa kusimama kwa mida mrefu.Mm nilifikir utaliongelea kitaalamu, ukionyesha side effects za hayo madawa, kwanza ni madawa gani, composition yake ni nn....hizo side effects zinasababishwa na nn etc...
Funguka zaidi mkuu...
Usizijie kabisa mkuu. Ni hatari sanaBahati nzur sifaham hizo dawa
Dogo acha uongoKuna aina nyingi ya dawa zinanazotumiwa na wanaume kuongeza nguvu ya kufanya tendo la ndoa,
Ni vizuri kuepuka matumizi ya hizi dawa kwani si rafiki kwa afya ya uzazi kwa wanaume.
Umeongea vizuri sana unajua kama ni mtaalam wa dawa lazima uulize maswali kama haya mtoa uzi tuambie ni dawa gani hizo au ni zile ambazo tunazijua sieMm nilifikir utaliongelea kitaalamu, ukionyesha side effects za hayo madawa, kwanza ni madawa gani, composition yake ni nn....hizo side effects zinasababishwa na nn etc...
Funguka zaidi mkuu...
Niacheo uongo gani sasa, kuna aina nyingi sana ya hizi dawa sokoni... Kampuni ya dawa ya Cipla inaingiza dawa inaitwa Erecto, 50mg,100mg etc, madawa ya yalilenga watu wenye matatizo ya nguvu za kiume hasa wenye kisukari ( erectile dysfunction) kibaya sasa vijana na wazee wasio na hii shida wamekuwa wakitumia ili Tu kuwafirahisha wapenzi wao sasa madhara Ni makubwa kuliko faida wanayoipata.Dogo acha uongo
ungetaja hata sawa mojawapo na kuielezea
tungekupa side effect
huwezi kumeza midawa ya kifua kikuu bila kushauriwa na Daktari
usitumie kitu kwa kusikia tu
hayo madawa mengi yanaharibu mpaka mishipa ya uoni wa macho
kupandisha pressure nk
zipo kuanzia gram 20, 50gm na 100gm
pia zinatumiwa na wenye matatizo ya sukari na pressure
sasa mtu huna unaenda kutumia ikipanda na kugoma kushuka utamlilia nani na bibi huna?
mleta mada funguka usaidiwe