Usitumie Madawa ya kuongeza nguvu za kiume kumfurahisha mpenzi wako, Ipo siku utakuja juta.

nelly nashon

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
242
521
Kuna aina nyingi ya dawa zinanazotumiwa na wanaume kuongeza nguvu ya kufanya tendo la ndoa,
Dawa hizi huongeza mzunguko wa dama kwenye uume na kuufanye usimame imara kwa muda mrefu.

Mwanaume anapotumia dawa hisi hasa pale anapokuwa hana tatizo la kudumu la upungufu wa nguvu za kiume, hujisikia imara sana na mwenye utulivu na kujiamini zaidi pale anapokuwa na mpenzi wake wakati wa tendo la ndoa.
Wataalamu wa afya ya uzazi wamengundua kuwa, matumizi ya muda mrefu wa dawa hizi kwa mtu asie na Tatizo la nguvu za kiume husababisha madhara makubwa, humfanya mwanaume kutojiamini, hudhoofisha misuli ya uume, wasiwasi wakati mwingine maniii kutoka hovyo,

Mwanaume aliezoea kutumia dawa hizi akihisi ni kumfurahisha mpenzi wake, huathirika sana kisaikolojia pale anapozikosa na kumfanya kushindwa kabisa kufanya tendo la ndoa kwa hofu kuwa atapafomu chini ya kiwango.

Ni vizuri kuepuka matumizi ya hizi dawa kwani si rafiki kwa afya ya uzazi kwa wanaume.
 
da wakuu me nilitumiaga hivyo ndani ya mwaka mmoja kila napokutana na mwanamkee ehe mwaka huu mwenzi wa 9 ndyo nimeacha nimepta sana shida kuizoea hali yangu lakn sasa nashukur naendelea vizur
 
Mm nilifikir utaliongelea kitaalamu, ukionyesha side effects za hayo madawa, kwanza ni madawa gani, composition yake ni nn....hizo side effects zinasababishwa na nn etc...
Funguka zaidi mkuu...
 
Mm nilifikir utaliongelea kitaalamu, ukionyesha side effects za hayo madawa, kwanza ni madawa gani, composition yake ni nn....hizo side effects zinasababishwa na nn etc...
Funguka zaidi mkuu...
Side effects kuu Ni Anatomical and psychological, anatomical effects Ni kuwa hudhoofisha misuli ya uume, erectile Muscles, hii huufanya uume kuwa dhaifu mno na kushindwa kusimama kwa mida mrefu.
Psychological effects, humfanya mtumua kujijengea hisia kuwa pasipo hizo dawa hataweza fanya lolote, matokeo yake huwa addict.
 
Kuna aina nyingi ya dawa zinanazotumiwa na wanaume kuongeza nguvu ya kufanya tendo la ndoa,
Ni vizuri kuepuka matumizi ya hizi dawa kwani si rafiki kwa afya ya uzazi kwa wanaume.
Dogo acha uongo
ungetaja hata sawa mojawapo na kuielezea
tungekupa side effect
huwezi kumeza midawa ya kifua kikuu bila kushauriwa na Daktari
usitumie kitu kwa kusikia tu
hayo madawa mengi yanaharibu mpaka mishipa ya uoni wa macho
kupandisha pressure nk
zipo kuanzia gram 20, 50gm na 100gm
pia zinatumiwa na wenye matatizo ya sukari na pressure
sasa mtu huna unaenda kutumia ikipanda na kugoma kushuka utamlilia nani na bibi huna?
mleta mada funguka usaidiwe
 
Mm nilifikir utaliongelea kitaalamu, ukionyesha side effects za hayo madawa, kwanza ni madawa gani, composition yake ni nn....hizo side effects zinasababishwa na nn etc...
Funguka zaidi mkuu...
Umeongea vizuri sana unajua kama ni mtaalam wa dawa lazima uulize maswali kama haya mtoa uzi tuambie ni dawa gani hizo au ni zile ambazo tunazijua sie
 
Dogo acha uongo
ungetaja hata sawa mojawapo na kuielezea
tungekupa side effect
huwezi kumeza midawa ya kifua kikuu bila kushauriwa na Daktari
usitumie kitu kwa kusikia tu
hayo madawa mengi yanaharibu mpaka mishipa ya uoni wa macho
kupandisha pressure nk
zipo kuanzia gram 20, 50gm na 100gm
pia zinatumiwa na wenye matatizo ya sukari na pressure
sasa mtu huna unaenda kutumia ikipanda na kugoma kushuka utamlilia nani na bibi huna?
mleta mada funguka usaidiwe
Niacheo uongo gani sasa, kuna aina nyingi sana ya hizi dawa sokoni... Kampuni ya dawa ya Cipla inaingiza dawa inaitwa Erecto, 50mg,100mg etc, madawa ya yalilenga watu wenye matatizo ya nguvu za kiume hasa wenye kisukari ( erectile dysfunction) kibaya sasa vijana na wazee wasio na hii shida wamekuwa wakitumia ili Tu kuwafirahisha wapenzi wao sasa madhara Ni makubwa kuliko faida wanayoipata.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom