nelly nashon
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 242
- 521
Kuna aina nyingi ya dawa zinanazotumiwa na wanaume kuongeza nguvu ya kufanya tendo la ndoa,
Dawa hizi huongeza mzunguko wa dama kwenye uume na kuufanye usimame imara kwa muda mrefu.
Mwanaume anapotumia dawa hisi hasa pale anapokuwa hana tatizo la kudumu la upungufu wa nguvu za kiume, hujisikia imara sana na mwenye utulivu na kujiamini zaidi pale anapokuwa na mpenzi wake wakati wa tendo la ndoa.
Wataalamu wa afya ya uzazi wamengundua kuwa, matumizi ya muda mrefu wa dawa hizi kwa mtu asie na Tatizo la nguvu za kiume husababisha madhara makubwa, humfanya mwanaume kutojiamini, hudhoofisha misuli ya uume, wasiwasi wakati mwingine maniii kutoka hovyo,
Mwanaume aliezoea kutumia dawa hizi akihisi ni kumfurahisha mpenzi wake, huathirika sana kisaikolojia pale anapozikosa na kumfanya kushindwa kabisa kufanya tendo la ndoa kwa hofu kuwa atapafomu chini ya kiwango.
Ni vizuri kuepuka matumizi ya hizi dawa kwani si rafiki kwa afya ya uzazi kwa wanaume.