Usitumie hela kuwafurahisha watu ambao hawakuasidii maishani

DaveSave

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
440
637
Kwa namna moja au nyingine wengi tumekuwa tukitumia pesa kuwafurahisha watu ambao hawatusaidii maishani yawezekana ni kutaka sifa au umaarufu wenye tabia hii acheni

Kundi la pili umeoa una watoto lakini upo nyumbani kipindi kile tu ambacho upo rumba ukipata pesa unakwenda kutumia na michepuko ni upumbavu huu spend time n money with your family

Kundi la tatu ni wale ambao rafiki yako wa karibu ni yule tu ambaye wakati wa shida wakati ukiwa na pesa unakuwa na marafiki wapya its time badilikeni.

Maisha ya sasa hayana Urafiki na MTU
 
Safi Sana mkuu,Kuna watu cjui huwa wanafkiria nini?wakati Wa msoto kakuganda mbaya kabisa,ngoja apate,Yan mfumo mzima wa maisha yake unabadilika,mwanamke mpya,marafiki wengine kama anakunywa hata bar atabadili,Yan anawasahau kabsaa aliokula nao msoto,akiishiwa anarudi mikono nyuma.wenye tabia hizo waache
 
Akirudi mtiririshe tu....

Mwambie akale alipopeleka mboga
 
Umeweka vizuri sana ujumbe wako. Tubadilike.
Ila pia watu wanatumiwa na watu walio pata pesa, wao wakihisi wanatumia pamoja. Naaah. Ni kama biashara nipe nikupe. Hana cha kumpa hawezi mfata. So kuna upande huo pia. Waulize masela vijiweni wanapigika kila siku na kuletewa nyodo na ma do, wakipata hela watawafanyaje?
 
Kwa namna moja au nyingine wengi tumekuwa tukitumia pesa kuwafurahisha watu ambao hawatusaidii maishani yawezekana ni kutaka sifa au umaarufu wenye tabia hii acheni

Kundi la pili umeoa una watoto lakini upo nyumbani kipindi kile tu ambacho upo rumba ukipata pesa unakwenda kutumia na michepuko ni upumbavu huu spend time n money with your family

Kundi la tatu ni wale ambao rafiki yako wa karibu ni yule tu ambaye wakati wa shida wakati ukiwa na pesa unakuwa na marafiki wapya its time badilikeni.

Maisha ya sasa hayana Urafiki na MTU

Mkuuu yani umeandika ukweli kabisa mie yameshanikuta Hayo marafiki wananipenda nikiwa na hela cku Cna hawaonekani na siku wakipata hela zao hawaonekani. Hongera sana kwa kuanzisha huu Uzi. Ili watu wajirekebishe.
 
Una

Una cha kujifunza hapo mkuu,huu Uzi ni somo tosha kwako
 
Back
Top Bottom