Usitoe mimba, usitupe mtoto

GeoMex

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
5,431
Reaction score
20,042
A short story
1:


2:

3:

4:

5:

6:

7:Just open the latch and drop your newborn

8:

9:Anawalea watoto kama wajwake vile

10:

11:Na anao watoto wa kila rangi😂😂

12:

13:

14:

15:

16: The story of a big man with a big heart
 
Kidude kama hicho cha kuhifadhi watoto ukiweka bongo, lazima wale jamaa wa chuma chakavu watambae nacho
Wabongo hatushindwi kitu

Kama dust bin tu barabarani huwa tunapita nazo sembuse hako kanang'aa hivyo hahahaha
 
Huyo wa kwanza mbona kajipeleka mwenyewe na kibegi chake cha maelezo alipotokea
 
Wanapitishaga adi sheria uhuru wa kutoa mimba,. Kwakwel wote hawawez kufanana roho
 
Huyo wa kwanza mbona kajipeleka mwenyewe na kibegi chake cha maelezo alipotokea
Hahahaaa huyo ni baharia naona anataka kuzamia kaona huko kuna maisha mazuri kuliko home
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…