mimi nina mdada yuko chuo. huja likizozote kwangu na kwao hunifahamu. tuna 4yrs ktk mapenzi. na tuna mpango wa kuja oana. ila nilisha mtangazia kuwa kila mtu asomeshwe kwao. sisi tukutane kimaisha.ila humpa poketi money kidogo. ila mapenzi yamepungua .anadai nimgalimie kila kitu.nimegoma kuwa sijamuoa. ata cm kapunguza.so ni darili mbaya. nangoja akija akija tu namjulisha mimi mapenzi siwezi.
hahaha!usihofu mkuu
Naamini hii inatokea kwa baadhi ya mabinti siyo wote..acha kugeneralize mambo!
mimi nina mdada yuko chuo. huja likizozote kwangu na kwao hunifahamu. tuna 4yrs ktk mapenzi. na tuna mpango wa kuja oana. ila nilisha mtangazia kuwa kila mtu asomeshwe kwao. sisi tukutane kimaisha.ila humpa poketi money kidogo. ila mapenzi yamepungua .anadai nimgalimie kila kitu.nimegoma kuwa sijamuoa. ata cm kapunguza.so ni darili mbaya. nangoja akija akija tu namjulisha mimi mapenzi siwezi.
Hata matumizi pia tusitoe, maana ana wazazi. Tatizo twakosea mwanzoni kuonesha twawajari kwa kuwapa vihela
Kutoa ni moyo usambe ni utajiri asiponisaidia mimi atalisaidia taifa nimefanya kwasababu ya love kama haja apreciate sio tatizo langu ni lake
Poa poa mkuuNgoja waje
mtakuwa mmebaki 900 tu duniani..Mbona sie tumesomeshwa na wanaume zetu hadi Leo miakana miaka tunaheshimu Kile tulichofanyiwa jamani maana mie alinikuta darasa la 7 akaniendeleza kwa QT badae nikienda college asaivi nimmnakazi na mwakani anampango wa kunipeleka zaidi.kielimu
Una miaka mingapMbona sie tumesomeshwa na wanaume zetu hadi Leo miakana miaka tunaheshimu Kile tulichofanyiwa jamani maana mie alinikuta darasa la 7 akaniendeleza kwa QT badae nikienda college asaivi nimmnakazi na mwakani anampango wa kunipeleka zaidi.kielimu
AiseeeWengine tunaoa papuchi, wengine wanaoa elimu