Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

Mwanaume wa aina yako ndo hafai kabisa! Mwanamke akuibie ina maana yeye anakuwa hana hela ama? Tupishe sie!
kwa hela gani alionayo? mwenyewe hana pa kuishi kapanga room moja hiyo balance ya kuiba ikajenge ukweni ipo wapi?
 
Hv umefikiria nn ukaileta hii mada humu,huyo m'ke utakuwa hujampenda kweli umempenda utakumbuka kuchunguza yote hayo? acha ulimbukeni wa mawazo na kasumba ndiyo inakusumbua ww.

tabia inahusika kwenye mapenzi, ukipenda kichwakichwa mengine ukayafukia jiandae kwa majanga huko mbeleni. Hata kama hela iliyopo si ya kujenga, usanii utatumika kwenye hata kodi ya meza
NB: watu wa aina hiyo wanakuwa na asili ya kusema uongo, ukimpenda basi uvumilie!
 
Hahaaah! kaswali kangu ni hivi: kama "mwanamke mwema anatoka kwa Mungu"...Je mwanaume je mwema je anatoka je kwa nani je???
Alafu je na wakinadada je wao je wasiolewe je na wanaume wa aina gani je au je wanaotoka je familia ya aina gani????
 
Mmmh.... outdated analysis. Kinacho matter hapo ni akili ya mwanamke... ameikataa historia ya kwao anaitaji new life. Utapoteza mtu ambaye angekuwa mke mwema kwako kwa analysis za ajabu ajabu. Watch out
 
Ushirikina hauna kabila siku hizi hata wachagga ambao walikuwa wanaonekan wako safi siku hizi wanajifunza uchawi.So uchawi hauna kabila.
 
Hapo upstairs mbona sioni kamati iliyojadili hii analysis,inaonekana umesimuliwa
 
ukizaliwa na baba masikini ni majaaliwa ya muumba lakini ukioa na baba mkwe ni masikini umeyataka mwenyewe
 
Very funny hamna ukweli wowote

ukichunguza vizuri mengine yana ukweli, je unaweza kutuambia saikological effects anazopata mtoto wazazi wanapotengana? Ni kwmba ni future naye hataona umuhimu wa ndoa!
 
Ukisoma kuna point ila namna ya kuziwakilisha au alitaka kusema ukitaka kuoa angalia mfumo wa maisha ya wazazi / mzazi wa mtarajiwa wako nadhani ingeeleweka zaidi though kuzaliwa katika Female Headed House sio justification kwamba mwanamama huyo ni malaya kwani kuna uwezekano wa kuingia kwenye mahusiano alafu mwisho wa siku mtu akakimbia wakati huo amepata mtoto mmoja sasa hapo afanyaje akae mpaka azeeke au amtafute tu mgomvi wake wazae mtoto wa 2 simply bcoz wawe baba mmoja?

Wakati mwingine maisha ya wazazi wako kama hayakuwa katika maadili huwa ni mafunzo kwa wale watoto pindi wanapokuwa wakubwa yasitokee kama yaliyotokea kwa wazazi wao kwani wao tayari ni wahanga wa hiyo hali ya kuwa na baba tofauti na wameshaonja adha practically (so si kila alietoka katika familia ya kisimbe atakuwa ana mentality ya kama mzazi wake kwani wengine imetokea tu hawakupenda but walihitaji watoto si unajua tena na wanaume tulivyo na sound though kuna ambao ni kunguru hafugiki). Moja kwa moja zile tabia zinaweza kuathiri watoto ndio maana nikasema ni vyema kuangalia katika nyanja za background ya wazazi / mzazi na mienendo ya familia yao kwa ujumla.

Halafu mleta huu uzi lazima atakuwa wa huku huku kwetu Imalamakoye, Welamasonga, Itabagumba (yaani kwenye majina ya asili hii maana ndio mitazamo yetu hii na of course huwa ina work but sidhani kama ni applicable everywhere maana kuna uwezekano ukawa mtu ni msukuma but una utamaduni wa Kindengereko kutokana na kuzaliwa Kiparang'anda na kusomea hukohuko na kazi ukapata Dar kitu pekee kinachokuonyesha wewe ni msukuma ni ubini wako labda kama unaitwa Lung'wecha, Masanja, Lufulwandama n.k, kwa mtaji huu unaweza ukapoteza mke mzuri kwa kuangalia hii formula ya ukabila)
 

unawesaje
 

Hapo si apatengeneze huko kwao Mbinga pafanane na anapoishi ili kesho na kesho kutwa kuna kwenda kijijini kwa wazee maana haiepukiki maana kuna raha gani kujenga ghorofa au kukaa kwenye bonge ya mjengo Dar alafu ukienda Mbinga kuna wazazi wanakaa kwenye nyumba ya nyasi, mbaya zaidi kuna ambao wakienda kwao huwa wana complicate maisha kwa kufikia guest house makao makuu ya wilaya alafu wanakuwa wanachukua boda boda wanaingia kijijini wana wasalimia wazee wanasepa (hapo ni kuwajenga kisaikolojia tu watoto waelewe wanapokuwa kwao wanakula bata ila waelewe kwamba kuna upande mwingine wa shilingi kuna ndugu hawana kitu nao wanastahili kuheshimiwa, otherwise unajenga hata vyumba viwili na sebule unaviweka vizuri kiasi kwamba ukienda kijijini watoto wako wanalala vizuri)
 
Kweli mkuu maana sifa ya binadamu ni kutofautiana hoja na kurekebishana na ndio maana huwa kuna mikutano na makongamano lengo ni moja tu kupata muafaka wa pamoja vingenevyo kama binadamu vichwa vyetu au upeo wetu ungekuwa sawa kusingekuwa na mikutano wala makongamano au forum kama hizi kwa kuwa mmoja akifanya maamuzi basi wote tunakubaliana nae, otherwise nimependa signature yako kama inahusika vile hapa though kizungu kinanipiga chenga kidogo
 
Mmmh.... outdated analysis. Kinacho matter hapo ni akili ya mwanamke... ameikataa historia ya kwao anaitaji new life. Utapoteza mtu ambaye angekuwa mke mwema kwako kwa analysis za ajabu ajabu. Watch out

ukweli ni kwamba tabia nyingine zinakuwa nia za kurithi au saikological effects walizozipata kutokana na matendo ya wazazi wao. Mfano katika familia ambazo baba na mama wanapigana usiku, kutukanana au kusema uongo na watoto wao mostly likely they gona do the same in the future, kama ni wakiume uwezekano wa kuwa anamdunda mkewe ni mkubwa!
 
hakuna mtu perfect chini ya jua.......
kinachoniudhi kwako mtoa mada unamhukumu binti si kwa makosa yake ila kwa ya familia yake......
kuna wengi walio ndani ya familia za namna hiyo na wanaumizwa na hali hiyo na ndoto zao ni kuhakikisha kuwa wanakuwa na maisha tofauti na ya wazaz na ndugu zao......
nadhani ni vizur zaid kuangalia tabia halisi ya mtu kwanza.....

MSHUKURU MUNGU WEWE UMEBAHATIKA KUZALIWA NA KUKUA KWENYE FAMILIA ILIYOKAMILIKA........
 
Nimeipenda thesis yako...ila pole sana kwa kua ni ya miaka mingi sana nyuma...kwa zama za sasa sina hakika km wanaoiabubu wana exist tena!
 
Naona umeamua kuwataja wahaya ili thredi ipate wachangiaji.

Mie nina marafiki wa kihaya, walikuwa hawajui yaliyomo kwa kabila lao ila ni hatari maana hawakuamini na pesa walizonazo kifamilia kila mtu anajitahidi ila duh wanamaovu ndani ya ajabu.

Kabila hilo lilitawaliwa sana pia na wao kuamini miungu (God's of the land) hadi walipokuja wazungu ndio baadae wakafata dini ila kichini hayo huwa hayaishi, na wengi ni wachawi kweli. najua Nchi nyingi makabila maeneo yanafata bado hayo ya mungu wa eneo ila ya wahaya, sikia usikie utashangaa.
 

Hakukuwa na sababu ya kuandika yote haya. Nia ya mtoa mada ilikuwa ni kufikisha mawazo yake kwa wasomaji wake,kama umeweza kumuelewa inatosha, Swala la jinsi ya uwasilishaji wa mada husika (presentation) si-lakimantiki sana hasa kwa jukwaa hili.
 

Unaweza ukatufafanulia kuwa ni kwa nini unaamini kuwa dini uliyoletewa na wazungu ndio ya kweli na zile dini za mababu ni za uongo.
 
I agree to totally disagree with you. You have no proof and we leave in the same society where the type of women you mentioned are living well and happily with their families

In real life, the saying "Samaki mmoja akioza basi wote wameoza" don't really apply. So kama umewaona baadhi don't take it as general.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…