Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,643
- 1,177
sasa mkuu mbona unamponda sana Kijana?Ushauri kama huu haujengi bali unabomoa,,Kwani mtu kuishia form 4 ndio asiwe anatoa yake ya moyoni?Na hata kama uwezo wake wa kufikiria ni mdogo basi wewe mwenye uwezo mkubwa utakua umemuelewa vizuri zaidi..Umesema pia Amepitwa na wakati ni sawa coz siyo watu wote wanapata nafasi ya kuji expose na vitu kama hivyo kama ilivyo kwa upande wake....zaidi ya yote UMESOMA LAKINI ELIMU YAKO HAIKUSAIDIIUmevurugwa mkuu japo una point lakini umeshindwa ku present nina wasiwasi na elimu yako(uandishi wako hauna logic na hata hizo spelling ni za watu wa facebook) pili uwezo wako wa kufikiria-umeshutumu sana bila ushahidi wa kutosha au bila kuelezea mwisho kabisa...zaidi ya yote UMEPITWA NA WAKATI
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Stupid analysis.6.ucioe demu ambae kwao wana mambo ya ushirikina mfano warang wahaya wanyaturu nk ni hatar
Mh...kabaki nani sasa??!
sasa mkuu mbona
unamponda sana Kijana?Ushauri kama huu haujengi bali unabomoa,,Kwani mtu
kuishia form 4 ndio asiwe anatoa yake ya moyoni?Na hata kama uwezo wake
wa kufikiria ni mdogo basi wewe mwenye uwezo mkubwa utakua umemuelewa
vizuri zaidi..Umesema pia Amepitwa na wakati ni sawa coz siyo watu wote
wanapata nafasi ya kuji expose na vitu kama hivyo kama ilivyo kwa upande
wake....zaidi ya yote UMESOMA LAKINI ELIMU YAKO HAIKUSAIDII
Sawa nitajirekebisha kaka...Sasa na wewe ndio umwambie mwenzako amesoma ila elimu haimsaidii? Umekosa Hekima na Busara
hapo nakubaliana na wew 100%, ila naongezea kidogo.., usioe mwanamke tajiri wala maskin sana. yaan muwe wa level moja.hapo ckubali usioe mke masikini kwani atakuibia kumbuka mke masikini ndio mzuri kwani anakuwa hapendi mambo makubwa na vile vile unaweza kuish nae kwa amani kwani ww ikitokea mwanamke unamtaka alaf yeye ni tajiri huna haki ya kumuoa kwa kuwa utamuibia mali zake kumbuka wizi ni tabia ya mtu ambayo ameizoea hata kama yuko vp na tathmini inaonesha matajiri ndio wizi na maskini wizi ni kidogo sana kuliko matajiri