shabani hassani
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 248
- 34
Kwa lugha nyingine wanawake msiolewe na wanaume walolelewa na mzazi mmoja....
Usiolewe na mwanaume ambaye baba yake kazaa na wanawake tofautitofauti hata kama yupo ndoani
Mchunguze hao wanaume kama wao na kaka zao wale wazinzi walevi au wachawi
Chunguza ana madada wangapi na kama hawajaolewa usikubali kuolewa huko
Usiolewa na mwanaume ambao kwao masikini
Usiolewd na mwanaume ambae kwao wanamtegemea utaisoma namba
kwa staili hii itakua shughuli
Dah! Nakubali mawazo yako hapo juu ni ya msingi, hasa unapotaka kuoa kwenye familia ambayo Baba na Mama waliachana, ni ukweli ambao nimeuishi, ila kwenye 5 na 6 sikubaliani na ww.
Hapo namba 5 naungana nawe pia, ila 6 usithubutu ndugu yangu.Dah! Nakubali mawazo yako hapo juu ni ya msingi, hasa unapotaka kuoa kwenye familia ambayo Baba na Mama waliachana, ni ukweli ambao nimeuishi, ila kwenye 5 na 6 sikubaliani na ww.
Hadi huku MMU ban zinapita? Nilidhani ni siasani tu.acha mi nitoke kidogo nje ya mada.wadau mbona naona rate ya watu kupigwa ban iko juu namna hii?!.kuna majanga gani?cc wengine tulijipa likizo kidogo na jf.
Ndugu zangu,
Katika kuishi na watu mbalimbali na kuchunguza ndoa zao kuharibika zifuatazo ni sababu zinapaswa ziangaliwe kwanza
1. Usithubutu kuoa katika familia ambayo ni ya kisimbe kwa sababu watoto hawatokuwa na maadili mazuri ispokuwa tu labda baba yao awe amefariki kwa bahati mbaya
2. Usioe katika familia ambayo kila mtoto ana baba yake hata kama huyo mama mkwe ana mme kwani wale mabinti watakuwa na mfumo huo huo tu wa umalaya.
3. Usioe sehemu ambayo mama anaonekana kuwa na sauti kumshinda baba na hao mabinti utakaowaoa watakuja na hilo wazo la kutaka kukutawala kama mama yao anavyomfanya baba yao.
4. Ukitaka kuoa chunguza kaka zake na mchumba wako ukiona ni walevi, wazinzi, wezi, waropokaji, wagomvi, piga chini huyo kwani naye atakuwa hivyo hivyo.
5. Usioe mwanamke ambaye kwao ni maskini mno kwani atakuibia na atajenga kwao au kukuroga akuinamishe ili kila analokwambia ufuate na hata kukuua ili arithi mali ni hatari mno
6. Usioe demu ambae kwao wana mambo ya ushirikina, ni hatari!

Kosea yote, usikosee kuolewa na mtoa mada,

TRAP!!!!Umevurugwa mkuu japo una point lakini umeshindwa ku present nina wasiwasi na elimu yako(uandishi wako hauna logic na hata hizo spelling ni za watu wa facebook) pili uwezo wako wa kufikiria-umeshutumu sana bila ushahidi wa kutosha au bila kuelezea mwisho kabisa...zaidi ya yote UMEPITWA NA WAKATI
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ndugu zangu,
Katika kuishi na watu mbalimbali na kuchunguza ndoa zao kuharibika zifuatazo ni sababu zinapaswa ziangaliwe kwanza
1. Usithubutu kuoa katika familia ambayo ni ya kisimbe kwa sababu watoto hawatokuwa na maadili mazuri ispokuwa tu labda baba yao awe amefariki kwa bahati mbaya
2. Usioe katika familia ambayo kila mtoto ana baba yake hata kama huyo mama mkwe ana mme kwani wale mabinti watakuwa na mfumo huo huo tu wa umalaya.
3. Usioe sehemu ambayo mama anaonekana kuwa na sauti kumshinda baba na hao mabinti utakaowaoa watakuja na hilo wazo la kutaka kukutawala kama mama yao anavyomfanya baba yao.
4. Ukitaka kuoa chunguza kaka zake na mchumba wako ukiona ni walevi, wazinzi, wezi, waropokaji, wagomvi, piga chini huyo kwani naye atakuwa hivyo hivyo.
5. Usioe mwanamke ambaye kwao ni maskini mno kwani atakuibia na atajenga kwao au kukuroga akuinamishe ili kila analokwambia ufuate na hata kukuua ili arithi mali ni hatari mno
6. Usioe demu ambae kwao wana mambo ya ushirikina, ni hatari!
mwambie huyo.:nod:
Ukiwa unatafuta watu perfect kwa style hii nadhani itafikia mda una miaka 49 ndo unafikiria kuwa serious na mambo ya ndoa. Kwa society yetu ya kiafrika am sorry to disappoint you that most of the things you mentioned here are very common. I wonder how long will u keep away from these people.