Mkosoe bila kumdhalilishaUmevurugwa mkuu japo una point lakini umeshindwa ku present nina wasiwasi na elimu yako(uandishi wako hauna logic na hata hizo spelling ni za watu wa facebook) pili uwezo wako wa kufikiria-umeshutumu sana bila ushahidi wa kutosha au bila kuelezea mwisho kabisa...zaidi ya yote UMEPITWA NA WAKATI
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums