Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

Tatizo lao ni umalaya mwingi,ubishi kwa sana ni wagumu kueleweshwa kitu na wakakubali haraka na pia sio wavumilivu katika mahusiano au ndoa pale hali ya uchumi inapotetereka kwa mwanaume ni wepesi sana kusaliti ndoatena wanaona ni haki yao kabisa kisa biashara imetetereka kidogo ila kwa kitandani wapo vizuri sana na ni wachapakazi.
 
Ni wababe Wanyakyusa
 
Mh! We jamaa ushawahi kuishi mbeya bila shaka
 
Hahaha wanaleta mazoea Eeeh. Teh ila nimecheka huyo demu wa kipare aloshushiwa mabanzi teh teh
Teh teh..Mwanamke mwenye timbwili kama hilo ndo wa kuoa sasa..Hapo hata kidume nawe ukitaka kuchepuka unajifikiria mara mbili...Sio unaoa mwanamke anasikia umechepuka unamkuta amejifungia chumbani analia
 
Hahaha daah nacheka kama mazuri vile, kumbe unapenda wakorofi eeh ndo maana ukampata atoto. Ngoja mkweo akicheat, utamkuta na manundu tu kwa nakozi ntakazompa hahhaha uwiii
 
Hahaha daah nacheka kama mazuri vile, kumbe unapenda wakorofi eeh ndo maana ukampata atoto. Ngoja mkweo akicheat, utamkuta na manundu tu kwa nakozi ntakazompa hahhaha uwiii
Teh teh..@atoto kelele nyingi nje tu..Akiwa ndani mpole kama kinyonga....We lete ukorofi huko halafu urudishwe nyumbani..Ntakulaza store
 
Teh teh..@atoto kelele nyingi nje tu..Akiwa ndani mpole kama kinyonga....We lete ukorofi huko halafu urudishwe nyumbani..Ntakulaza store
Hahaha unadhani atanirudisha sasa, sirudi ng'ooo. atoto sijui umempa nini, kanyweaaa
 
Teh teh..Bora usirudi..Mana chumba chako nishapangisha...
Matajiri wa mahaba town tuko wawili tu..Mimi na Cassim Mganga..Unataka aende wapi tena
Hahaha daddy una mbwembwe, tajiri wa mahaba kwani umezaliwa Tanga na wewe?
 
Hata unipe mnyakyusa bure na mahitaji ya bure mwaka mzima siwataki hata kuwaona ni wa binafsi mbaya na niwatu wenye roho mbaya wanafiki wajuaji wanataka wawe juu ya mwanaume yani ni shida tupu!!!
 
Kwa bahati ikatokea umepata mchumba/mke wa kinyakyusa. Usifikirie kumuacha maana ni watu wanajibidisha kutafuta pesa, pia kitandani wapo vizuri. Kasoro wana sura ngumu sana.

Kweli kampeni si mpaka baada ya miaka mitano tuuuu
Hata hii ni moja ya kampeni za uchaguzi wa wanandoa cha kusikitisha nadhani haxijaratibiwa na sijui kama ustawi wa jamii na wasajili wa vizazi na vifo wanalitambua..

Kama wanajibidisha kutafuta hera ujue sifa hiyo ikitumika mchaga na muha hawataachwa pembeniii
Na kama kigezo kitakua cha kuweza mambo kitandani mi nadha hapo MAKAHABA hatutowaacha pembeni. Kwani naamini wao hua wanaweza na kaxi yoyote inahitaji uzoefu,, siamini kama kuna bilogical factor kwambs mnyakyusa automatikali ameumbwa awe mtundu kitandani ila lupitia mazoezi kadhaa dheni aba adapt ndio anakua mzuri kitandani ambapo mi naamini hajamfikia KAHABA ambaye amefuzu kwa mazoezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…