Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

Labda wa siku hizi ndo wanajituma kitandani ila kazi kweli wako vizuri wanajituma ila kitaandani ni siri ya mtungi
Kujituma kitandani inategemea upo na nani. Ajitume kwako kwa kipi haswa?
 
>mke wangu ni mnyakyusa najuta kweli;
*kitandani hovyo
*ulevi
*rough
*un~neat
*openly prostitute
>seriously I hate this tribe only children unite us
Khaa!! Wewe si bure, unahitaji upimwe ghorofani kwako :glasses-nerdy:
 

Kaka we ni Malaya pyuuu... 21 😧 bado wanyakyusa Malaya mh
 
Mnyakyusa mzuri wa mjini tu, huko bush hata unipe bure sitaki. Nilimpata mmoja ukoo wa mwakarobo na mwingine mwankusye. Stori zetu za mapenz unaweza tunga filamu
 
mule nekyugila mwemikonyofu umweee mbona kyela wabawake wazuri wapo??? mambo ya mapenzi no one perfect....aseee emitojofu egeeeee
 
Gazaniga, shagazi yako mweupe uko chini? acheni uhuni wenu bhana. Wanyakyusa wanyakyusa! kwanini msiwaseme mama zenu? Kwani wanawake wakinyakyusa wana lala na akininani kama sio nyie wenyewe? shiti!
 
wanyakyusa sio sifa yao, wachawi ni wakinga wapo weng mbeya mjini ...afu kwa utafutaji kwakweli wanyakyusa watafutaji sana...hata familia nying za kinyakyusa mama uwa mtafutaji sana...hawanaga ubishooo, watoaji sana na wakarimu....ni watu wa majavu live ukizingua utapewa za uso hapo hapo...wanadharau mnooooo wahaya wanasubiri....na kujusifu kumooo....umalaya umo hasa kwa wa kyela na ndo wanaojipenda sana na wababe , watukuyu umalaya kawaida na sio watu wa kujipenda sana....wakyela wanaongea sana wa tukuyu wapole.....wanapenda sana dini na wengi wakristo.....nimeishi sana mbeya naweza sema ni kabila zuri na nawapenda...wanajua kupenda ila wakakujisikia flani ivi...sio watu wa kunyantasika kwenye mapenz
 

watakuwa wanafilisika sababu ya kukatazwa kuloga tyuuu...maana wakinga ni ulozi tu......ila kwa kujipenda na kutokujinyima kweli wako ivo ila si kwa kufilisi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…