devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 266
- 373
Hawa ni matapeli sana ... Bayport na Platnum ..Mim najuta saivMkuu hujaeleweka bado
Jamaa ipo siku watakosa wateja na kampuni zao zinakwenda kufa na kufilisika ..muda utaongeaHeee...Kwani Wapo Ambao Hawajawastukia...hao mataperi Kitambo..!
Siku zao zinahesabika watafilisika na kupotea kabisa mana saiv wateja wanawajua vilivyoWengine wanaofanana nao...Blue,Faidika,Finca,Pride . Nashangaa Walipewaje pewaje Leseni dhulumati hawa..!
umewasahai Faidika..letshgoPlatnum Credit / Bayport /Easy Finance ni WAPIGAJI.
Umechelewa sana kuwafahamu.Ndugu wana jf hiz kampuni za kukopesha fedha zina usumbufu sana ..riba yao kubwa ..kudai loan balance wasumbufu ..ukitaka kufuta deni hawakubali...
Ndugu wana jf nawashauri acheni kukopa kwa hawa majamaa ni matapeli sana ...kuwa makini
Jina tu linakupa picha ya yaliyomo.Wengine wanaitwa OYA
Hawa ndio kabisaWengine wanaitwa OYA
umewasahai Faidika..letshgo