Usithubutu kujilinganisha na watu wengine

Usithubutu kujilinganisha na watu wengine

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,267
Usithubutu kujilinganisha na watu wengine, hili jambo huwa linawacost wengi sana.

-
Asikwambie mtu maisha ya watu wengi sivyo kama uyaonavyo, huenda wewe ukawa na uafadhali kuliko hao unaowatamani, sikuhizi watu wanaekti saana!

Sasa hata tukija kwenye suala la mahusiano, hali ni ile ile tu labda watu wanatofautiana uafadhali tu lakini mauza-uza yapo kila sehemu,

My friend jifunze kujikubali na kuikubali hali yako.

Jiulize kama wewe unatamani kuwa kama fulani, Je nani atatamani kuwa kama wewe?

Ikiwa wewe mwenyewe unajisaliti na kujikana, nani atakayeiona thamani yako?

Many words to say but I hope it make sense. Thank you.
 
Of course you must be yourself yani lazima ujikubali. Sugu anakwambia Mama Agnes mwanao najikubali najenga mpaka hotel.


Ulipotea sana Mzee baba
 
Uzi wako wa kwanza mzuri toka nimeanza kuingia JF Big Up [emoji1376][emoji1376]
 
Ujumbe mzuri, ila binadamu tulivyo hii kitu wakati mwingine inajitokeaga tu bila kuitafuta.

Wakati mwingine tunafanya comparison ili tu tupate kujisukuma zaidi katika maendeleo
 
"The Other Side"

His name is Jackson
He lives in Jamaica
Every morning he comes down to the docks to watch the ships come and go
He's been here too long
Mental slavery has not touched him one bit
He still knows his history, he knows where he comes from
That is why he believes the ocean can give him some answers
About the very very far home
That he's never been to. All his life he says
I wish I was home, I wish I was in Africa
I wish I was home, I wish I was in Africa
I have seen his world
I've seen the other world. I have nothing to say
I put my coat on my shoulders
As I walked away, I heard myself sing

The grass is greener on the other side
Til you get there and see it for yourself
The grass is greener on the other side
Til you get there and see it for yourself
The grass is greener on the other side
Til you get there and see it for yourself

His name is Themba
He lives in Soweto
Every morning he goes to the airport to watch the planes come and go
He has changed his African name to a western one
Cause he doesn't know how it hurts to have a name
You can't be proud of. He hopes that one day
One of these birds of the sky can take him away
To a very very far land
Running away from the very roots
That so many black people in the world
Are wanting to come back to. A place they call home
They wish they were home
They wish they were in Africa
They wish they were in Africa
I live in his world, I've seen the other world
I got nothing to say
I put my coat on my shoulders
As I walked away, I heard myself sing

The grass is greener on the other side
Til you get there and see it for yourself
The grass is greener on the other side
Til you get there and see it for yourself
The grass is greener on the other side
Til you get there and see it for yourself​
 
SAFIIII sana "" some times tunahitaji vitu vyenye mitazamo tofauti lakini yenye mantiki kama hvi """
huwa inatusaidia kujikumbusha wajibu wetu wakutambua thamani zetu kwa mtu mmoja mmoja "" nakumrejesha kifikira na kimitazamo Kule ambapo alipaswa kuwa "" ambapo ndio mahala stahiki kwa upande wake ....

shukrani
 
Back
Top Bottom