usithubutu kucheki haya macho::::::::YANATISHA

hata hayatishi mi nimeyapenda!!nitaenda kutafuta hizo lens za brown za huyo wa mwisho au farkhina unasemaje?
 
Last edited by a moderator:
hata hayatishi mi nimeyapenda!!nitaenda kutafuta hizo lens za brown za huyo wa mwisho au farkhina unasemaje?

Shost unaweza kweli kuweka lens?
Mi aisee ayo mambo yemenishinda
 
Last edited by a moderator:
hata hayatishi mi nimeyapenda!!nitaenda kutafuta hizo lens za brown za huyo wa mwisho au farkhina unasemaje?

Wakati waenda tafuta tafadhali niambie twende sote nikuchagulie zitazokupendeza...
 
Last edited by a moderator:
Sura ngumu kama yangu nikuweka coloured lenses watoto watakimbbia mtaani wakidhani ni popobawa. Nalog on
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…