awe mfupi halafu kibonge ka mtungi wa gas ya Oryx. mda wote anaona anadharauliwa4.Mwanamke Mfupi, utanuniwa kila mda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]awe mfupi halafu kibonge ka mtungi wa gas ya Oryx. mda wote anaona anadharauliwa
Hahaha....kumbe unamjua.mwanaume una gubu wewe
Uko sawa kabisa ila inahitaji mda kidogo kujua kama ni mbumbumbu. 2 na 3 hizo hazina mjadala zipo wazi.Habari wanaJf. Ndugu zangu wana Jf na kwa vijana wenzangu ambao hamjaoa au mnaelekea kufunga pingu za maisha au bado mpo kwenye mchakato wa kutafuta mpenzi/ mchumba. Usijaribu kuanzisha uhusiano na wanawake wafuatao:
1. Mwanamke mpumbavu/ mbumbumbu.
2. Mwanamke aliyeachika/ mtalakiwa/ Single mother.
3. Mwanamke ambaye hana elimu.
Ukiangukia katika makundi hayo utateseka maisha yako yote.
Mkuu mbumbumbu inamaanisha nini?Uko sawa kabisa ila inahitaji mda kidogo kujua kama ni mbumbumbu. 2 na 3 hizo hazina mjadala zipo wazi.
Mtu asiyejitambua/mjingaMkuu mbumbumbu inamaanisha nini?
Muongozo tafadhali mmeniacha nyuma.
Duuh...yaaani kwa mfano hai hapa jukwaani ni nani ni mbumbumbu mkuu niweze kuelewa vizuri?Mtu asiyejitambua/mjinga
Duuh...yaaani kwa mfano hai hapa jukwaani ni nani ni mbumbumbu mkuu niweze kuelewa vizuri?
Sidai mzee..kwema?Hahah, Keiya Bro