mkali kwanza
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,301
- 1,187
sasa unamaindi vitu vidogo na wewe kwan tuko kwenye pepa?Kwani hakuna wanawake wenye uelewa wa mpira wa miguu? Temna kuna wanaume wengi tu huwa wanauliza mwaswali kama haya. Story za facebook hizi umekopi.
hahahahahhah"nataka Arsenal ishinde kombe la dunia"
Daah
Nilishawahi kuuliza kwa mr kama refa huwa anabeba idadi ngapi za kadi za njano na nyekundu mana nilijua ukipewa kadi ya njano au nyekundu unaondoka nayo......!!!
Vitu vingine si vya kufuatilia hasa ukiwa huna hobi navyo.