Usitarajie kupata mpenzi Love Connect; Tarajia kejeli, dhihaka, na matusi

Usitarajie kupata mpenzi Love Connect; Tarajia kejeli, dhihaka, na matusi

Nomadiq

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
8,579
Reaction score
22,947
Niaje wakuu. Natumaini mko poa.

Unapofungua uzi kwa sasa hapa Love Connect ni kawaida sana kutukanwa, members kukukejeli kwa vigezo vya mtu unaemtaka au vigezo ulivyo navyo.

JamiiForums ni uwanja wa kejeli,dhihaka na matusi, kuna utani ndio sikatai lakini kwa sasa sio utani watu wanatafuta pa kutolea hasira na huzuni zao!

Sio tu love connect jukwaa lolote unalofungua uzi expect negativity 70% hautasumbuka!
Muwe na siku njema
Cc: Cookie & Kila mwanaJF
 
Niaje wakuu. Natumaini mko poa.

Unapofungua uzi kwa sasa hapa love connect ni kawaida sana kutukanwa, members kukukejeli kwa vigezo vya mtu unaemtaka au vigezo ulivyo navyo.

JF ni uwanja wa kejeli,dhihaka na matusi, kuna utani ndio sikatai lakini kwa sasa sio utani watu wanatafuta pa kutolea hasira na huzuni zao!

Sio tu love connect jukwaa lolote unalofungua uzi expect negativity 70% hautasumbuka!
Muwe na siku njema
Cc: Cookie & Kila mwanaJF
kila mtu ana mtu ake shida ndyo inaanzia hapo
 
Ya kuambiwa/kusoma humu changanya na yakwako, kama unachukua kila linalowekwa humu kama lilivyo utaona watu ni wa ajabu mno.

Mfano mimi mengi nayoyaandika humu hasa kwenye sekta ya mapenzi mengi ni changamsha genge tu, uhalisia nipo tofauti sana na wengi humu ndivyo walivyo.
 
Niaje wakuu. Natumaini mko poa.

Unapofungua uzi kwa sasa hapa love connect ni kawaida sana kutukanwa, members kukukejeli kwa vigezo vya mtu unaemtaka au vigezo ulivyo navyo.

JF ni uwanja wa kejeli,dhihaka na matusi, kuna utani ndio sikatai lakini kwa sasa sio utani watu wanatafuta pa kutolea hasira na huzuni zao!

Sio tu love connect jukwaa lolote unalofungua uzi expect negativity 70% hautasumbuka!
Muwe na siku njema
Cc: Cookie & Kila mwanaJF
Shida ni kwamba baadhi ya watu wana vigezo vingi sana mtu anatafuta mpenzi kama anataka kumuajiri😁😁🙌
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom