MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,612
- 21,346
Mkono ni mkono mshukuru Mungu unayo yote miwili kama uamini kamuulize mwenye mmoja tu.Uyo wa kwanza mbona kashika na mkona kuchambia
Hicho ni kiapo si unajua Israel wana control dunia?Ufafanuzi, hivi nini ishara na matokeo ya kugusa huo ukuta kwa hao marais wa USA!!?
Nilikuwa sijanotisiKwa nini ma democract wamevaa vikofia vyeupe na marepublican vyeusi?
Basi hao wengine watakuwa sehem zngne takatifu za wayahudi bt siowestern wllHakuna Rais wa Marekani aliwahi enda Western Wall zaidi ya Trump
Hivi ndivyo ulivyoongea kweli au leo nimevuta mbayaKwanini WANASHIKISHWA UKUTA?Kumbe marais wa marekani nao wanashikishwa ukuta?
wanaita mkono wa uani.Uyo wa kwanza mbona kashika na mkona kuchambia
Uyo wa kwanza mbona kashika na mkona kuchambia