Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,100
Mimi Ni Mtumishi Wa Mungu Na Ni Mchungaji Mtarajiwa, Ninatafuta Mke Mwema Wa Kuoa. Vigezo Awe Ameokoka Kwa Muda Usiopungua Mwaka Mmoja, Awe Anaabudu Makanisa Ya Kirohn, Awe Tayari Kuwa Mama Mchungaji. Mimi Naitwa Emmanuel, Taja Na Jina Lako Na Mahali Unapoabudu, Weka Na Namba Ya Cm Ili Iwe Rahisi Kuwasiliana. Unaweza Ku2ma Kwny Pm. MITHALI 30:31, "Uzuri Wa Mwanamke Sio Sura,bali Yeye Amchae Bwana Ndiye Atakayesifiwa"
hakuna msatari unaosema hvo kwenye bible!! unapotosha umma!!!
Una shilingi ngap kwenye akaunt yako? Una nyumba? Una kaz nzur na vitega uchumi vya kutosha? Shida stak, nataka nije nipumzike Tu huko bas
Mmmh!!!!! angalia usije kukutana na wanaume wenzio humu.
Hatutachati Kupitia Jf, Bali Naweza Kuja Kanisa Ulilopo 2kaonana,pia Na Mchungaji Wako