M mchagacurious Member Joined Dec 29, 2013 Posts 7 Reaction score 0 Jan 3, 2014 #1 Wabongo kwa ubish ndo wenyewe angalia umeshapuuzia kichwa umeingia unataka kutoka bila reply ila umeongeza idadi ya viewers
Wabongo kwa ubish ndo wenyewe angalia umeshapuuzia kichwa umeingia unataka kutoka bila reply ila umeongeza idadi ya viewers
K Kasililwa JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 239 Reaction score 54 Jan 3, 2014 #2 Umejitahidi kuwastua wabongo maana wengi siyo wadadisi ila jiandae kushambuliwa kwa matusi na kejeli za wavivu wa kufikiri
Umejitahidi kuwastua wabongo maana wengi siyo wadadisi ila jiandae kushambuliwa kwa matusi na kejeli za wavivu wa kufikiri